Jinsi ya kuangalia shule walizopangiwa darasa la saba 2017

ceicey

JF-Expert Member
Jul 6, 2015
259
500
Habari wana JF,

Kama kichwa kinavojieleza, naomba msaada jinsi ya kuangalia shule walizopangiwa, darasa la saba 2017.

Ahsante!
 

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
25,639
2,000
Darasa la 7 mnasumbua sana humu. Heading uliyoweka ni kama vile unatoa suluhisho Kumbe hamna kitu!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom