Habari ndugu...
Kuna mtu kamaliza form4 mwaka 2012,alipata D5 ikiwemo..physcs..Mwaka 2016 aligraduate Kozi ya ICT ngazi ya.certificate G.P.A ya 3.67.,,,,
Mwaka kesho 2018...anatarajia kujiunga...
Binafsi ninaona ndiyo sababu kubwa ya mada nyingi zinakuwa hazina mantiki kabisa!! Sasa ww unamajina yako halisi ni kwann unatumia majina fake?? Watu wangekuwa wanatumia majina halisi...
Pneumonoultramicroscopicsilicovolcanoconiosis ndio neno refu kuliko yote katika kamusi ya kiingereza likiwa na herufi arobaini na tano. Maana ya neno hilo ni ugonjwa wa mapafu unaosababishwa na...
Habari za jioni wadau nina mdogo wangu yupo jitegemee sec. Form five ila anataka kukatisha mwezi wa tatu aende akaanze certificate.
Naomba tumshauri dogo course gani nzuri ambayo itamfaa Dogo...
Hello guys,
Hawa wanafunzi wanaoshika top 10 kitaifa mitihani ya form 4 wapo smart, na baadhi yao (kupitia international school of moshi) hupata full scholarship za kwenda kusoma kwenye...
Elimu ili iweze kuwa na tija na endelevu, lazima watu wapende kujisomea majarida na vitabu mbalimbali muda wote wa maisha yao.
Huduma zetu za Maktaba sio za kuridhisha. Maktaba zetu nyingi...
Dear Readers,
I am one of those who aspire to take a professional course in procurement via Procurement and Supplies Professional and Technicians Board famously known as PSPTB, so i did what...
Wale wanafunzi wa O level na A level nchini Tanzania tukutane hapa tujuane. Muombe ushauri kwa yanayokwaza huko shuleni and let us share our experience mkiwa huko shuleni.
Haya uwanja ni wenu.
Habari zenu wanajukwaa,
Nilifanya mitihani ya CPA May, Nilifanya masomo 6 intermidiate na nikafaulu mawili tu (audit na ethics), Kwa sasa nataka kufanyia mtihani haya manne yaliyobaki na moja la...
Wapenzi habari za mchana?
Mnamo 12/06/2017 Mangi nilifanikiwa kununua Bachelor degree on Business administration with Information Technology kutoka SMC University kinachopatikana huko Zug -...
Za muda huu wakubwa?
Naomba msaada wenu,mdogo wangu amefeli masomo hayo kweny mtihani wa kidato cha nne na nia yake ilikuwa ni kuanza kusoma certificate chuo kikuu but masomo yote ya science...
Wakuu, bila kupoteza muda, Kwanza niwasalimu na niwape pole na mihangaiko ya siku nzima.
Nia ya huu uzi ni kutaka kufahamishwa ni zipi alama za ufaulu kwa kidato cha sita ambazo ni current.
Asanteni
Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha 4 mwaka 2012 ana D zote na C mbili ya kiswahili na Civics yaani div 4:26 je anaweza kusoma nn kipindi hiki? Masomo ya sayansi Phys, Chem, Bios na Maths yote Ana D
Niko mwaka wa tatu kozi iliyotajwa hapo juu. Niliichukua kozi hii kwa kukosa mwongozo wa vyuo ninavyoweza kusoma kozi hii ambayo niliipenda tangu nikiwa shule ya msingi.
Ninachouliza ni kama...