Mshahara wa architect wa hapa Tanzania ni kiasi gani?

Nadhani kswahili sahihi cha Architect ni MSANIFU MAJENGO
 
Acheni Kunyeana ni TGS E ambayo kwa mwaka jana ilikua ni 915,000 before Tax and other deduction hiyo ni Mishahara ambayo watu wa science wote wanaanzia tukiacha I.T, Ualimu na Madaktari, Madaktari wanapiga pesa nyingi zaidi.
 
Habari wakubwa,naomba kujua ni kiasi gani mchora ramani au mjenzi analipwa hapa Tanzania?

Mchoraji wa ramani kwa maana ipi? Architect wa kusomea au? Unaweza kuchora ramani na wewe sio Architect wacha kudharau fani bana hebu fafanua. Architect aliyebobea miaka mingapi umesoma na upo kwenye hiyo kazi kwa miaka mingapi, Je, unatambuliaka au ni member wa Architectural body nk. Isije ikawa unatafuta technician tu akuchoree nyumba. Then unataka kufahamu ili iwe nini. Architects ambao ni registered wengi wanafanya kazi kwenye kampuni zao.

Mjenzi unamaanisha contractor ama vipi? Wewe umesajiliwa kuwa contractor au unataka kuja kufungua kampuni ya ujenzi? Viwango vya malipo mbona viko wazi kutokana na contract!
 
Last edited:
Back
Top Bottom