DR.POLITICS
Member
- Dec 16, 2015
- 69
- 42
Habari wadau wa elimu, nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hili lakini sikupata jibu lenye ukweli ndani yake.
Mfano, mimi nina degree/Masters ya engineering, baada ya kuona upepo mtaani hauko vizuri nikapata wazo la kusoma degree ya Mass communication au degree ya accountancy. Pengine kama nitafanikisha mojawapo niongezee na degree nyingine mfano agriculture. Je, hapa nchini Tanzania inaruhusiwa?
Je anaweza kupewa mkopo?
Ikiwa haiwezekani, sababu ni zipi zenye nguvu?