Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hebu jukwaa pendwa la wadau wa education tushare uzoefu wa matokeo ya mock maana nimetumiwa matokeo ya mock siyo poa yaani huku kwetu Pwani nimepata shock kidogo maana mitihani ya kawaida but...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
NA: ERNEST BONIFACE MAKULILO (MAKULILO, JR.) CALIFORNIA, USA Makala nne zilizopita zimekuwa zikichambua hatua za kupata udhamini ughaibuni. Hatua hizi ni nyingi, na makala ya leo inaendelea...
4 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari wakuuu anaejua taasisi zinazotoa mkopo tofauti na serikali tujuzane na taratibu za kuomba
1 Reactions
20 Replies
7K Views
Samahani wandugu kwa usunbufu Nataka postpon chuo, then nipage kaz ka 3 yrs, then nije niombe transfer Niko first year, hlf ni loan benefishary, nisomee huko ntakapokuwa vip itaeezekana?? Na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Naomba msada wa kutaka kusoma vitu vilipita au diskasiwa muda mrefu nikitaka kuvisoma tena leo napata tabu kupalaza simu kutafuta vitu vya nyuma sivioni. Hivi huku hakupo kama google kama...
0 Reactions
3 Replies
826 Views
Jamani kwa anaefahamu kuhusu kozi ya chemical and industrial engineering kama mtu was PCB anaweza somea na vigezo vyake , please anisaidia . thanks
0 Reactions
58 Replies
14K Views
Wadau naomba kama kuna mtu ana past papers za English 1 na 2 pamoja na Kiswahili 1 na 2 anisaidie. Nataka zilizo kwa soft copy, ukiweza nitumie kwa email sengojupendosengo@yahoo.com Nature ya...
2 Reactions
17 Replies
4K Views
Habari zenu wana jukwaa la elimu. Ningependa kufahamishwa ni course gani za muda mfupi ambazo mtu anaweza kusoma maybe kipindi akisubiri kujiunga rasmi na chuo?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari za jioni wana JF!? "Habari za uzima wapendwa. kwa wenye watoto waliomaliza la saba ikiwa mwanao amechaguliwa public school na hatoenda unalazimika kupeleka shule aliyochaguliwa barua...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavo jieleza hapo juu, Tuliokosea kulipa pesa za form za mikopo ya elimu ya juu, tuliambiwa tuandike barua ziende HESLB ili tuludishiwe pesa zetu, tukaambiwa mwezi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Bodi ya mikopo yawajia juu wadaiwa sugu hili swala ni gumu jaman wadaiwa sugu tupo mtaani mwaka wa saba Ajira hakuna,ingependeza sana bodi ya mikopo ikashirikiana na serikali kuwapatia ajira...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jaman hivi hizi dawa za PrEP = Pre Exposure Prophylaxis na PEP = Post Exposure Prophylaxis zinapatikana hapa tanzania? kwa anaejua naomba anielekeze zinapatikana wapi. nna hitaji tu kujua...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nilikuwa nabishana na jamaa zangu hapa kuhusi yupi bora zaidi aliesoma diploma mbili za fani tofauti au aliesoma shahada ya fani moja kwa mfano mtu alianza kusoma diploma ya ustawi wa jamii halafu...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Ndugu zangu habari za wakati huu? Kati ya mapipa (tanks) haya, ni lipi unafikiri litakuwa la kwanza kujaa maji?
15 Reactions
553 Replies
51K Views
Habari zenu wana jf, naomba kufahamishwa gharama za ada kwa level ya masters katika chuo kikuu huria cha Tanzania.Mimi nataka kusoma kwa mfumo Wa masafa yaani kwa kimombo distance learning.kwa...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wanabodi, habari za mwaka jana, Kila atakayepata nafasi ya kuongea na vijana wanaosoma vyuo awakumbushe ya kwamba maisha wanaoyodhani watayapata baada ya kuhitimu ni dhahania, wakumbusheni...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba msaada wa mbao za kufundishia kwa chaki ( movable blackboards zinauzwa wapi na sh. Ngapi). Nia malengo ya kusajili na kufungua tuition center.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya vyuo wanafunzi hawajaingiziwa boom la kwanza mpaka tarehe ya leo tunaomba Prof. Ndalichako lile darubini lako litufikie huku Central zone tunaumia sana hali ngumu kila siku kesho...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Top 8 Countries with the Highest Paying Jobs in Africa By Africa-ontherise - Oct 28, 2017 By Steve Siboe If you’re searching where in Africa you can find well-paying jobs, it’s always...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Boss wa TCU usipofanya kazi kwa ubunifu na SPEED ya awamu hii naona njia yako ipo WAZI. Nasema haya bila fitna wala chembe ya uonevu; 1. Vyuo vikuu visivyo na sifa bado vipo na vinadahili...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom