Msaada wa wapi nitapata mbao za kufundishia kwa chaki

Msaada wa wapi nitapata mbao za kufundishia kwa chaki

malongo deus

New Member
Joined
Jul 25, 2017
Posts
1
Reaction score
1
Ndugu zangu naomba msaada wa mbao za kufundishia kwa chaki ( movable blackboards zinauzwa wapi na sh. Ngapi). Nia malengo ya kusajili na kufungua tuition center.
 
Huku jf hakuna mbao mkuu.... angalia mazingira uliyopo apo, mafund selemara ongeanao.... Humu unakuta mtu yupo kilimanjaro wee upo kgoma izo mbao mtarushiana jf
 
Back
Top Bottom