Yupi atakuwa na nafasi zaidi kati ya aliesoma diploma mbili tofauti au shahada ya fani moja

musa mayya

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
929
1,000
Nilikuwa nabishana na jamaa zangu hapa kuhusi yupi bora zaidi aliesoma diploma mbili za fani tofauti au aliesoma shahada ya fani moja kwa mfano mtu alianza kusoma diploma ya ustawi wa jamii halafu baadae akasoma diploma ya nursing na mwingine akasoma bachelor of science in nursing moja kwa moja....
 

fokonola bokoyoka

JF-Expert Member
Feb 13, 2015
949
1,000
Diploma hata kumi still degree itabaki kuwa degree, hivyo pia kwa masters na PhD.

Tofauti kubwa inakuwa kwenye courses unazosoma-IQ kubwa zaidi, hata aina ya lecturers.
 

JOSE KASANO

Senior Member
Apr 23, 2013
116
225
Degree ni jiwe hasa zama hizi.Diploma hata kama una kumi.Pili linganisha elimu NA fursa siyo mshahara.
 

SODIUM CYANIDE

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
671
1,000
Sio degree zote ni bora kuliko diploma.

Inategemea diploma yenyewe umesoma nini na kwa wakati gani.

Kwa mfano kwa wakati tulio nao,ni bora ukasoma diplom ya kada za afya(clinical medicine,nursing,medical lab au pharmaceutical science)kuliko hata bachelor degree ya ualimu wa masomo ya sanaa.
Umenena vyema sana mkuu. Bora hamsini nzima kuliko mia mbovu.
 
Jan 2, 2018
53
125
Jipe moyo tu.... mfano hauendani na uharisia ndo wabongo tulivo
Kwanza kabisa jifunze kuandika maneno ya kiswahili kwa usahihi.

Neno sahihi ni uhalisia na sio ''uharisia''

Na huo uhalisia unaosema wewe ni upi?

Nna ushahidi na nnachokiandika,kuna kundi kubwa la watu walisoma bachelor degree za kada mbalimbali.

Wakapigika sana mtaani mwisho wa siku wakaamua waje kusoma diploma za kada ya afya angalau wapate unafuu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom