Nipeni uzoefu wa mithani ya mock

Nipeni uzoefu wa mithani ya mock

Top gun maverick

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2017
Posts
2,092
Reaction score
2,923
Hebu jukwaa pendwa la wadau wa education tushare uzoefu wa matokeo ya mock maana nimetumiwa matokeo ya mock siyo poa yaani huku kwetu Pwani nimepata shock kidogo maana mitihani ya kawaida but naona usahishaji hovyo kabisa...daaa kabla sijaondoka kesho hebu nipate maoni ya wasomi humu..
 
dogo wasahihishaji wanalipwa pesa ndogo so wana stress za maisha..komaa uta tusua tuu
Mimi nikiwa form four,pre mock nilipata div 1 ya 17,mock nikapaya div 1 ya 16 but national nikapata div 1 ya 14..so bado una muda.

form six nilichukua PCM
pre mock div 4 ya,mock div 3 ya 15,pre national div 2 ya 12 na national nikanyoosha 2 ya 11 ..so it is possible
 
Wahaya kwa kujisifuu ni atareee
 
Kweli hata ukanda huu wa nyanda za juu kusini matokeo sio shwari mzee yani dvn 3 za kutosha one za kutafuta kwa kurunzi ya mjerumani
 
Back
Top Bottom