Waungwa habari za Jumapili, poleni na pilikapilika
Kama kichwa cha habari kinavyoelezea,
Naombeni anayesoma au anayefahamu mtu anayesoma chuo tajwa hapo juu anaisaidie mawasiliano yake nataka...
Kwa nia njema kabisa niwapongeze kwa kazi yenu ya kuelimisha, lakini kwa alichofanya mwalimu wenu au kiongozi wa msafara wa wanafunzi waliotoka Dar leo tarehe 12,1,2018 sio cha busara kabisa...
Mwalimu anatafuta wa kubsilishna kituo cha kazi yupo Kagera Kyerwa Idara msingi anataka kwenda
TABORA
KATAVI-MPANDA
RUKWA
MBEYA
SONGWE AU
IRINGA
CONT:0767854687
Au Pm
Matokeo ya kidato cha pili mwaka 2017 yalitangazwa tarehe 8/1/2017. Matokeo hayo yanaonesha ufaulu mzuri kwa shule za binafsi kuliko shule za umma kwani kati ya shule kumi zilizofanya vizuri...
Popote mlipo, kwa anayefahamu namna ya kuandika swali la hesabu kwenye mtandao anisaidie wadau, maana ninashindwa kwa sababu ya alama za hesabu mfano integral sign, etc
Ndg wanabodi sisi wazazi tunatakiwa kuwalinda na kuwaelimisha watoto kadri Mungu anavyotujaalia.Hivi karibuni imeibuka tabia ya hizi shule zinazoitwa English Medium, academy au vyovyote ziitwavyo...
Habar naomba kujua gharama za certificate kwa course ya IT pale UDSM. pia vigezo Mimi nina D3 NA B1 katka mtihani Wa form 4. Pia natamani kujua jinsi ya Ku apply na wakati gani wanaaza au vyuo...
Manispaa ya Bukoba imeongoza tena kwa Mara nyingine katika matokeo ya kidato cha pili 2017 yaliyotangazwa jana na NECTA.
Mwaka 2016 ilikuwa ya kwanza kitaifa na mwaka 2017 imekuwa ya kwanza tena...
Habari wana Jf naomba Kwa wanao ifahamu hii kozi ya fitter mechanics inayotolewa veta ni kozi inayo husu kusoma vitu gan ki undanii zaidii na pia ajira ya hii kozii inapatikana kwenye shughuli...
Wadau kwa mtu anayeijua center nzuri kwa ajali ya review ya masomo ya uhasibu cpa kwa mkoa wa Mwanza tafadhali naomba anifahamishe ... mahali ilipo pamoja na fee intermediate kwa somo itapendeza...
Matokeo ya CPA kawaida huwa yanatoka kabla ya xmas ambapo January inapoanza watu wanakuwa wanaanza maandilizi ya kusoma kwa ajili ya masomo yajayo ila awamu hii imekuwa tofauti mpaka sasa matokeo...
Wakuu kama mnavyoona headline kuna anayefahamu tofauti ya module na semester kwa kozi za masters pale UDSM hasa za evening na je inachukua wiki ngapi kukamilisha module moja??
Ahsanteni
Andika namba tukuweke kwenye group la WhatsApp la kujadili topics za biology, chemistry na physics
Mjadala ni Kwa lugha ya kingereza tu,uwe unataka kuwa fluent kwenye masomo hayo
Nimejaribu kufanya application kwa ngazi ya Diploma ila wanataka niapload cheti cha form four na ninayemfanyia hana maana kamaliza mwaka 2016. Nahitaji msaada kwa aliyefanikiwa kufanya application...
Msaada ndugu nataka kufahamu shule za private ambazo zinafanya vizuri kwa kidato cha nne ila ziwe katika mikoa ya Mwanza na Shinyanga ada isizidi 1,500,000/=
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.