Naomba kufahamishwa gharama za masters kwa distance learning Open Univesity of Tanzania

chumachakavu

Member
Oct 1, 2017
53
62
Habari zenu wana jf, naomba kufahamishwa gharama za ada kwa level ya masters katika chuo kikuu huria cha Tanzania.Mimi nataka kusoma kwa mfumo Wa masafa yaani kwa kimombo distance learning.kwa yeyote anayefahamu naomba kufahamishwa.asanten
 
Million nne,itapendeza Sasa!
 
Bei zinatofautiana kutokana na aina ya "Masters" unayoenda kuchukua, lakini kwa kukupa mwanga, ni kwamba kuna zenye gharama ndogo kuanzia 3.5mil na kuendelea juu zaidi!
 
Back
Top Bottom