and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,325
- 36,121
Boss wa TCU usipofanya kazi kwa ubunifu na SPEED ya awamu hii naona njia yako ipo WAZI.
Nasema haya bila fitna wala chembe ya uonevu;
1. Vyuo vikuu visivyo na sifa bado vipo na vinadahili wanafunzi
2. Msako wa kuwatumbua wanafunzi wasio na sifa vyuo vikuu umefikia wapi?
3. Mnalipwa mishahara minono na maposho kedekede kwa kazi ya kuhakiki vyeti vya waliosoma vyuo vikuu vya nje huku mkiwatoza 150,000/mtu, kitu gani zaidi chenye 'UBUNIFU' mlichofanya mpaka sasa kwenye sekta ya elimu ya juu?
PENDEKEZO:
TCU iunganishwe na taasisi zifuatazo; TEA, HESLB na NACTE ili kuleta ufanisi na kubana matumizi. Ateuliwe MTENDAJI MKUU mmoja makini & Mahiri, wengine wote rudisha huko vyuoni wakafundishe vijana.