Wakuu kama kichwa cha habari kilivyo, naomba kama kuna mtu mzoefu na anamudu vilivyo kuwafundisha watoto lugha ya kiingereza na masomo mengine ya shule ya awali bas ani PM tuongee utaratibu wa...
Naona yapo katika div. na watoto wengine wameandikiwa referred, je div I had IV ndo wanaruhusiwa kujiunga na kidato cha 3? Na hawa walioandikiwa referred ndo wakurudia?
Nauliza tena je Kimantiki ( logically ) kabisa Tanzania ina Wasomi au ina Watu tu waliohudhuria Shule? Na mkinijibu hili swali langu tafadhalini nitaomba pia mnipe tofauti ili Kuntu kabisa na...
Wakuu habari za muda, kwa ambao wamesoma CPA (uhasibu). Naomba materials na past papers za foundation stage...nahitaji kununua...no 0658327429 DSM
Natanguliza shukrani.
Habari Wandugu
Ni matumaini yangu mu wazima.
Ni jana tarehe 08/01/2018, baraza la mitihani la taifa lilitangaza matokeo ya upimaji ya kidato cha pili na darasa la nne. Mimi pia nikiwa ni mdau wa...
Wadau
Kitu gani kinakuwa kikwazo kwa website ya NECTA inagoma kufunguka zaidi ya saa 30 toka matokeo yatangazwe au ndo teknolojia duni ya wataalamu wetu. Inashangaza sana matokeo yanatangazwa...
Jina langu naitwa Baraka clemence kwa sasa Niko mpanda nilikuwa naomba msaada hata wa mawazo kifupi mwaka 2014 nilimaliza form six nikajiunga na chuo kikuu udsm Bsc.in mechanical engineering mwaka...
Sio kawaida yao kuchelewesha matokeo kwa kipindi kirefu kama hiki na hawajatoa taarifa yoyote wala kuomba radhi.
Wanasababisha wahusika kufungua ukurasa wao mara sita kwa siku.
Nawashauri waeleze...
Wakuu nina mdogo wangu wa kiume, amemaliza form 4 2016, kwa bahati mbaya matokeo yake hayakuwa mazuri na yanatia aibu sana(D tatu na C moja). Sasa dogo kazunguka na maisha ya mtaani kwa mwaka na...
Heshima mbele,
Kama mnavyojua saizi ndio muda wa watoto kwenda shule, napenda kujua shule nzuri english medium maeneo ya Ubungo, Mabibo, Sinza au Kijitonyama. Shule nzuri na karo yake pia...
Sasa shule zinafunguliwa wazazi tunawaandalia vitabu gani wakati matokeo bado?
Mbona hii wizara inarudi nyuma jamani?
Prof. Ndalichako unafanya kipi sasa?
Huwa najiuliza sana bila kupata majibu kwa nini hili darasa limekuwa likipitia changamoto nyingi sana. Wengi wao ni vijana walizaliwa kati ya mwaka 1988-1993 ambao walianza shule ya msingi yaani...
Kama ambavyo nimeuliza hapo juu nina uhitaji mkubwa wa kitabu hiki. Nilikisoma juu juu tu nilipo shule lakini sasa naona kuna haja ya kukirudia tena na tena nahisi huyu mwandishi aliandika hiki...
Wadau wa JF
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUFUNGULIWA KWA USAJILI WA WATAHINIWA WA KUJITEGEMEA WA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) NA MAARIFA (QT) 2018
Kila mtahiniwa anatakiwa kufanya 'registration'...
Kiukweli serikali iwe inapita Mashuleni kufanya ukaguzi wa vitu mbalimbali Kama vile uwepo wa vitabu na miundombinu kutokana na mazingira ya shule nyingi kutovutia Kwa wanafunzi kujisomea na...
Amani kwenu wanafikra, kumekuwa na mkanganyiko mkubwa(kutofautiana) katika uandishi wa azimio la kazi hasa kwenye kipengele cha ASSESSMENT/UPIMAJI ambapo kuna wengine wanaandika kwa mtindo wa...
Habari zenu wanajamvi.
nina binti yangu , anatakiwa kuingia form four mwaka huu anasoma day ila nataka kumhamishia boargding. hata kama ikibidi arudie form three sio mbaya. naomba msaada wa shule...
Wakuu nilitegemea chuo kama DIT wawe bize hata kujaribu kutengeneza baadhi ya software au basi wawe bise kudiscus vumbuzi mbali mbali.
Au basi wawe bize kufuatilia Teknolojia za wenzao huko...
Kupitia Shirika la Friends of East Africa Chieldhood Development Care and Education Tz, kwa ushirikiano na Omep world www.worldomep.org/
Wanapenda kuwakaribisha wadau wote wa Elimu kwa kuanzia...