Masikini mjanja
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 232
- 378
Wakuu nilitegemea chuo kama DIT wawe bize hata kujaribu kutengeneza baadhi ya software au basi wawe bise kudiscus vumbuzi mbali mbali.
Au basi wawe bize kufuatilia Teknolojia za wenzao huko mbele.
Cha ajabu wanafunzi wako bise sana na siasa asubuhi hadi Jioni, Chuoni kuna matawi ya vyama yaani ukikuta wame break basi utakuta ni story za Siasa.
Nilitembelea jamaa yangu pale mpaka naondoka sikukutana au kuona wakiongelea story za teknolojia.
Tuna kazi sana.