Ndiyo maana yakeNaona yapo katika div. na watoto wengine wameandikiwa referred, je div I had IV ndo wanaruhusiwa kujiunga na kidato cha 3? Na hawa walioandikiwa referred ndo wakurudia?
NdioNaongeza swali hapo hapo. Kwa waliopata F katika masomo mbalimbali na labda moja WaPo ni hisabati ila hawajawekewa hiyo referred, wanaendelea hivyo hivyo na F zao?