Serikali ifanye ukaguzi shuleni kugundua changamoto zilizopo

Nov 29, 2016
18
8
Kiukweli serikali iwe inapita Mashuleni kufanya ukaguzi wa vitu mbalimbali Kama vile uwepo wa vitabu na miundombinu kutokana na mazingira ya shule nyingi kutovutia Kwa wanafunzi kujisomea na kuleta matokeo mazuri
 
Mi nadhani wanajua.Mbona unaongelea vitabu. Husishangae Shule haina Mwalimu wa fizikia,kemia au kiingereza zaidi ya miaka 5 au watoto wanasomea chini ya mti zaidi ya miaka tajwa..
Wanazitambua changamoto ndo maana hawataki kukagua.
Wakague nn wakati wanazifahmu.
Mfano Vifaa vya maabala vilivyokuwa vikisambazwa na wanajeshi .Hakuna aliyeomba.
Naamini wanazifahamu changamoto lukuki za Elimu yetu
 
Nahitaji kutafiti kubaini ni mawaziri na manaibu wangapi watoto wao Wanasoma kupitia elimu bure Ni wabunge wangapi watoto wao wananufaika kupitia elimu bure Ni makatibu wangapi wa utumishi wa umma watoto wao wanasoma kupitia elimu bure Hebu tufanye utafiti wa hili
 
Back
Top Bottom