baraka clemence
Senior Member
- Sep 18, 2016
- 137
- 67
Jina langu naitwa Baraka clemence kwa sasa Niko mpanda nilikuwa naomba msaada hata wa mawazo kifupi mwaka 2014 nilimaliza form six nikajiunga na chuo kikuu udsm Bsc.in mechanical engineering mwaka 2015 akati Niko mwaka wa pili nilishindwa kuendelea na chuo/discontinued hii nikutokana na mda mwingi skuhudhuria vipnd mlezi alokuwa akinisomesha alikuwa anaumwa ko mda mwingi nilikuwa nikimuuguza nkashindwa kuhudhuria mwisho wa siku nikapata 1.7gpa skuweza kuendelea na tatizo skutoa taarifa mapema chuo ivo ikawa ngumu kuendelea toka hapo mpaka sasa Niko tu mtaani naitaji msaada niweze kuendelea na shule Niko tayari kufanya kazi yoyote ili nipate ufadhili niendelee na shule kwani nilie mtegemea ameshafariki na nashindwa tena kuomba chuo sababu ntakosa mkopo loan board nadaiwa ivo itakuwa ngumu kunipa tena na hiv hapa chini ni vyeti vyangu form four na form six