Acha kutisha watu wewe. Hakuna shule inayokondesha mtu kama umeipenda na kuimudu. Ukilazimsha shule (yoyote ile) utaumbuka tu.Ungesema ni Me au Ke, kama ni Ke kuna private kama mazinde juu, kifungiro n.k tanga lushoto, za me wenzangu watanisaidia., Nikiona sehemu imeandikwa PCB napata presha ya moyo, hii Comb ndo chanzo cha mimi kukonda nakuto kunenepa mpaka leo na kwa mtu nimpendaye simshauri aende huko kamwe, mdg wangu alifaulu hio hio nilimshaur apitie dip ya clinical officer 3 yrs kamaliza na akaunga chuo degree. Jitegemee ni nzuri pia mana wamejitosheleza kuanzia walimu wazuri, maabara na library, nimesoma pale na nimechomolea pale
mwaka gan jite umemaliza?Ungesema ni Me au Ke, kama ni Ke kuna private kama mazinde juu, kifungiro n.k tanga lushoto, za me wenzangu watanisaidia., Nikiona sehemu imeandikwa PCB napata presha ya moyo, hii Comb ndo chanzo cha mimi kukonda nakuto kunenepa mpaka leo na kwa mtu nimpendaye simshauri aende huko kamwe, mdg wangu alifaulu hio hio nilimshaur apitie dip ya clinical officer 3 yrs kamaliza na akaunga chuo degree. Jitegemee ni nzuri pia mana wamejitosheleza kuanzia walimu wazuri, maabara na library, nimesoma pale na nimechomolea pale
ulimaliza na kina elias,yamu na asenga?2014 mtanganyika wa kweli,
Mlete lugobakwa shule za serikali wala sioni apambane na tution akienda shule ni kusoma na discussion tuu
Daaa usinkumbushee nlichaguliwa lugoba nkapakimbia pale....sio poaMlete lugoba
cheki pm yako.Mtanganyika wa kweli ndo hao hao, John asenga strike, mwanayamu mtoto kiuno kama....... Tena nakumbuka alihamia pale akitokea kat ya st methey au mbezi hope, elimus nimemsahau labda utaje jina jingne