Kitumburee
Senior Member
- Jan 31, 2012
- 142
- 89
Habari zenu wanajamvi.
nina binti yangu , anatakiwa kuingia form four mwaka huu anasoma day ila nataka kumhamishia boargding. hata kama ikibidi arudie form three sio mbaya. naomba msaada wa shule zinazomilikiwa na jeshi popote Tanzania hasa mikoa ya Dar Pwani, morogoro nijaribu bahati ya kumhamisha. binti ni mtukutu sana nafikiri akienda shule zinazomilikiwa na jeshi nidhamu yake itarudi.