Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Ukizungumzia elimu yetu moja kwa moja utagusa kuhusu kupanua wigo wa technology yetu watanzania katika kukuza soko la ajira na maendeleo katika jamii zetu za huku uswahilini. Ni vipi pale wasomi...
0 Reactions
0 Replies
936 Views
Habari wanamember wenzangu, kwa siku za hivi karibuni katika sekta ya elimu kumekuwa na utekelezaji wa agizo la wizara ya elimu/Tamisemi kama sikosei la kuhamisha baadhi ya walimu wa sekondari...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Ukiacha thl naomba njia ya kupata material ya a level ya shule zinazoongoza kama feza
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naombeni ushauri nimeacha chuo na nimeamua kurist mtihan wa kidato cha sita mwaka huu kwani nilikua nina uwezo mkubwa darasani ila form 6 sikua serious hata kidogo kwani form4 nilipata...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Jamani nina ndugu yangu anataka kujifunza maswala ya intelligensia na upelelezi na lengo lake kuu ni anataka kufungua kampuni inayo deal na maswala ya upepelezi. Ni chuo kipi kizuri kujifunza?
1 Reactions
21 Replies
10K Views
Kulingana na mazingira yalivyo,somo hili ni mhimu, maana hata viwanda vinategemea kilimo, na sehemu kubwa ya wakulima wa Tanzania,ni std 7,,hivyo kwa kizazi cha karne hii,somo hili ni mhimu...
1 Reactions
0 Replies
764 Views
Nawasalimia ndugu zanguni,mm nina mdogo wangu ambae nimeamza kumsomesha akiwa darasa la tatu mpaka la saba akafaulu nikampeleka shule moja ya private hapo Dar shule ya Mbezi high.Sasa amemaliza...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu kwa anaye ifahamu Njombe high school yaani; Kitaaluma ikoje Mazingira ni rafiki kwa wanafunzi kujisomea? Ina toa na kufundisha tahasusi(combination) zipi? Ina walimu bora? na...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini za kazi wakuu kama kichwa kinavyosema Nina ndugu yangu ambaye mwaka Jana ali apply teaching college akachaguliwa kulingana na hali ya kiuchumi kubana akahairisha kwenda sasa mwaka huu...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wanabodi., Kama Kuna yeyote anafahamu Shule yenye kupokea MWANAFUNZI wa kuhamia kidato cha tatu anisaidie MAWASILIANO ya hiyo Shule ili ahamie immediately. Asante sana
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Do you believe in the Laws of thinking? Lets see what Plato said: "Socrates, in a Platonic dialogue, described three principles derived from introspection. He asserted that these three...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Salama wandugu, Naomba uliza credit za kwenda Advance kwa shule za private na serikali ??
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Nlikuwa mwalimu kwa miaka takrbn miaka minne serikalini nikaamua kukimbilia kwenye majeshi na nikafanya mafunzo kwa miaka miwili jeshi la kujenga taifa lengo ni kuwa zikitokea nafasi jeahi la...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari wana jf Nina mdogo wangu ambaye kamaliza form4 na akapata division 4 ya 28,na amekuwa akihitaji kuwa doctor but marks hazirusu kusomema course ya afya,nimemshauri arudie/kurisit...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zipo tetesi kwamba leo tarehe 16/02/2018 mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam aitwae AQULINA AKWILINI BAFTAHA, amepigwa risasi na jeshi la polisi akiwa kwenye daladala, Duru zinaarifu kuwa...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Tanzania ilijipatia uhuru wake mwaka 1961 bila kumwaga hata " tone" moja la damu na hadi sasa sisi ni taifa huru. Swali linalonisumbua ni kwa nini baadhi ya vyama vya siasa hapa Tanzania huweka...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nilipata wasaa kidogo baada ya majukumu yangu ya leo kutazama kipindi kimoja cha luninga kilichokua kinahusisha wadau mbalimbali wa elimu wakijadili chanzo cha shule za umma kufanya vibaya kuliko...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
hili Tangazo lilitoka mwaka 2014 wiki kama hii.......... "Vijana waliomaliza kidato cha sita mwaka 2014 ambao walipangwa kujiunga na JKT awamu ya pili nawana sifa za kujiunga na elimu ya vyuo vya...
3 Reactions
36 Replies
5K Views
Nina mtoto wa ndugu yangu ambaye naona ana akili sana licha ya mazingira ya kijijini kuwa duni. Sasa nahitaji shule ya boarding ya kawaida nimpeleke ili kumwendeleza kipaji chake. Yaani isiwe...
0 Reactions
4 Replies
997 Views
Nini maana axis of symmetry kutoka kwenye grafu ya quadratic function.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…