Msaada wa kupata material ya advance

Msaada wa kupata material ya advance

test man

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2016
Posts
1,014
Reaction score
981
Ukiacha thl naomba njia ya kupata material ya a level ya shule zinazoongoza kama feza
 
ukiacha thl naomba njia ya kupata material ya a level ya shule zinazoongoza kama feza


Me too I have been waiting for someone to respond. Mimi nahitaji pia sehemu ya kupata vitabu vya masomo ya science level ya uni first year.
 
ukiacha thl naomba njia ya kupata material ya a level ya shule zinazoongoza kama feza
Shule kama feza hawana material unayowexa kupata.. Labda mitihani yao tu tena mpaka uitafute sana. Ila materials za kusomea utapata mchikichini
 
Back
Top Bottom