Nlikuwa mwalimu kwa miaka takrbn miaka minne serikalini nikaamua kukimbilia kwenye majeshi na nikafanya mafunzo kwa miaka miwili jeshi la kujenga taifa lengo ni kuwa zikitokea nafasi jeahi la wananchi niweze kujiunga lakini wakati binaadamu anapanga mungu nae anayake anapanga, nlibahtika kumaliza mafunzo lakn mpaka mkataba unaisha skubahtika kuajiliwa,kumbuka wakt huo teyari nshatolewa kwenye orodha ya malipo kwa watumishi huu ni mwaka wa pili nmehangaika bila mafanikio
1.Je naweza kurudishwa kazn?
2.njia gani nizitumie kama jibu la kwanza ni ndio
1.Je naweza kurudishwa kazn?
2.njia gani nizitumie kama jibu la kwanza ni ndio