Credit za kwenda Advance shule ya private

Credit za kwenda Advance shule ya private

Uwe na credit 5 na tatu ziwe at least C za masomo unayotaka usome Advance
 
Salama wandugu,

Naomba uliza credit za kwenda Advance kwa shule za private na serikali ??
Kama ni science nenda....
Kama ni arts nenda VETA au kajifunze kuoperate machine.

Elimu ya juu itakupotezea muda wako badae uje kulia hamna ajira...
 
Kama ni science nenda....
Kama ni arts nenda VETA au kajifunze kuoperate machine.

Elimu ya juu itakupotezea muda wako badae uje kulia hamna ajira...
kuna machine gan zinaendeshwa na wana art , hyo ada ajiajiri tu mapema
 
Back
Top Bottom