Nahitaji ushauri wenu kuhusu hii course pamoja na sifa za kujiunga

Nkana Jr

New Member
Dec 28, 2017
3
1
Habari wana jf

Nina mdogo wangu ambaye kamaliza form4 na akapata division 4 ya 28,na amekuwa akihitaji kuwa doctor but marks hazirusu kusomema course ya afya,nimemshauri arudie/kurisit lakini kagoma na anataka kusomea afya na kafaulu vizuri somo la Biology upande wa science subjects

Ila katika pitapita mitandaoni nikakutana na Universities za public health,na nikaona hapa tz hakuna vinapatika inchi za ughaibuni na rafiki yangu akanambia huwa vinahitaji one subject kufatana na course unayohitaji

Nahitaji ushauri wenu kuhusu hii course pamoja na sifa za kujiunga hii course.

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom