Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Qn. Social Development is a many sided process which cannot be adequately, explain by bourgeois theory and also by Marxian theory. Tafadhali nisaidieni in nitesa sana.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habarini za asubuhi, Naomba kufahamu kama aina hii ya elimu bado inapatikana nchini kwetu, inatolewa na vyuo vipi, kwa gharama ipi na ni elimu ya aina gani? (biashara,kilimo,ufugaji n.k). Kwa...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Nikiwa mmoja wapo wa wanachuo ambao nitakuwa mhitimu panapo majaliwa miaka kadhaa kama mungu atanipa uhai mbeleni nadhani kuna ndoto ambayo wanachuo wote bado tunazo za kumaliza chuo na kupata...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna taarifa zimezagaa mitaani kuwa wapo walimu wa shule za msingi ambao walishindwa kujiendeleza na sasa serikali imeamua kuwatimua bila huruma.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
It costs you 1.06 MB.
8 Reactions
25 Replies
6K Views
Kama ni gharika, hili ni balaa! Tangu wiki iliyopita, kuna orodha ya watumishi wametumbuliwa kwa madai ya kutokidhi vigezo. Tetesi ni kuwa " uhakiki wa vyeti" bado unaendelea n.a. matokeo ni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wana forum Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka Jana 2017 Nimefaulu kwa alama kama mnavyo ona hapo chini Civics D Geography C Kiswahili C English C Chemistry D Engineering Science...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Joachim Wangabo ametoa maelekezo kwa Wakuu wa Wilaya na Watendaji Wa Kata na Vijiji kuwakamata wazazi pale ambapo itagundulika watoto wao wana ujauzito na kuwafikisha...
0 Reactions
8 Replies
991 Views
Ukweli ni kwamba vyuo vikuu vingi havina walimu wa kutosha wenye sifa za kufundisha kozi za PhD, Masters na bachelor's degree. Vyuo vingi havina madarasa, maabara na sehemu za kufanyia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau natumai wote muwazima! Mi nataka kufanya LL.M naomba kwa mwenye Links za scholarships kwa distance learning kwa ajili ya Masters anisaidie tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mambo VP? Mimi ni muhitimu wa form4 2017 namshukuru mungu nimefaulu mtihani wa taifa na nimepata division 2.18 Na huu ndio ufaulu wangu English=A Bio=B Math=C Geo=C Ksw=C Civ=c Phy=C Chem=C...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari wadau wa JF, Leo tena Benki ya Dunia kwa kushirikiana na Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wanakutana kwenye ukumbi Council Chamber hapa UDSM kwa ajili ya uzinduzi wa ripoti ya utafiti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za siku nzima wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Naombeni kufahamishwa chuo chenye intake ya mwezi wa nne kwa kozi ya diploma in clinical medicine. Natanguliza shukrani
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habarini wana JF naomba wenye uelewa wa hiyo kozi wanisaidie kujua fursa zake hasa kwa kujiajiri zipoje?
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ingia www.nacte.go.tz uweze kuapply Deadline Tar 01/10/2017 Wahi mapema. ======= TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI KWA AJILI YA UHAKIKI WA TUZO MBALIMBALI KWA WALE...
1 Reactions
48 Replies
12K Views
Kwa tetesi au uhalisia kwa mnavyojua, ni lini NACTE watafungua dirisha la udahili kwa mwaka wa masomo 2017/2018. Tumekaa mitaani, hatuna la kufanya tunawasubiri NACTE. Kisha naona mwaka huu...
1 Reactions
27 Replies
10K Views
Habari wakuu. Mimi ni mmoja wa wanaosubiria kufanya maombi ya kujiunga na elimu ya juu(vyuo vikuu),nimekuwa nikitembelea tovuti(website) yao Mara kwa Mara kuona kama kuna updates zozote juu ya...
3 Reactions
22 Replies
9K Views
Excellent Training Center ni miongoni mwa vituo bora kabisa vinavyofanya vizuri kwa wanafunzi wa QT na Resitters, tunaendelea na usajili wa QT na Resitters mwaka 2018, waliosoma kwetu wamefaulu na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Naomba msaada kutoka kwa wataalamu wa uchumi na biashara (mainly), au mtu yeyote mwenye uelewa katika maswali yanayonisumbua kama ifuatavyo; 1. Kwanini kwenye electronic marketing...
0 Reactions
0 Replies
655 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…