NACTE wamefungua System kwa walikosa nafasi apply Sasa!

NACTE wamefungua System kwa walikosa nafasi apply Sasa!

Asaelofficial

Member
Joined
Sep 5, 2017
Posts
30
Reaction score
35
Ingia www.nacte.go.tz uweze kuapply Deadline Tar 01/10/2017
Wahi mapema.

=======

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI KWA AJILI YA UHAKIKI WA TUZO MBALIMBALI KWA WALE WANAOKUSUDIA KUOMBA KUJIENDELEZA KATIKA NGAZI YA SHAHADA KATIKA VYUO VYA ELIMU YA JUU KWA MWAKA WA MASOMO 2017/2018

Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limepokea maombi ya wadau mbalimbali zikiwemo Taasisi na Vyuo kuhusu kuongezwa kwa muda wa kuhakiki Tuzo za Stashahada kwa wale wanaopenda kujiendeleza katika ngazi ya Shahada katika Vyuo vya Elimu ya Juu.

Hivyo Baraza linapenda kuwafahamisha wadau na wahitimu wa Stashahada wanaotaka kujiendeleza katika ngazi ya Shahada kuwa muda wa kufanya maombi ya uhakiki wa Tuzo zao umeongezwa hadi Tarehe 23 Agosti, 2017.

Hivyo kwa wale ambao hawakufanikiwa kumaliza maombi ya uhakiki na wale ambao hawajaomba na wana nia ya kufanya hivyo, sasa wataweza kufanya uhakiki.

Baraza linapenda kutoa rai kwa waombaji kufanya uhakiki wa Tuzo zao mapema ili kuondoa usumbufu unaoweza kujitokeza katika dakika za mwisho wa muda wa uhakiki.

IMETOLEWA NA:

OFISI YA KATIBU MTENDAJI

BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)

TAREHE: 18 Agosti, 2017
 
Wale ambao waliaaplly nacte wakakoswa selection awamu ya kwanza hawajaruhusiwa kuomba chuo round ya pili ukiingia kwenye profile hakuna option ya kuapply kozi tena nashangaa sana taasisi kubwa hii kuwa na mambo ya kihuni kihuni .
9a9406b475d01ec36106736279d232a9.jpg
 
Kuwa mpole mfumo utafunguliwa soon utaruhusiwa kuomba
 
Bado kuna shida maana wametoa karibu vyuo vilevile
Wangetoa ambavyo vina nafasi na katika kozi zilizo na nafasi
Walivyoweka vyote MTU anaweza omba vilivyo jaa afu hakakosa tena
Kwa upande wa afya nazungumzia sijui kwa elimu
 
Mimi bado naona meseji ya please wait system is running
 
Bado kuna shida maana wametoa karibu vyuo vilevile
Wangetoa ambavyo vina nafasi na katika kozi zilizo na nafasi
Walivyoweka vyote MTU anaweza omba vilivyo jaa afu hakakosa tena
Kwa upande wa afya nazungumzia sijui kwa elimu
unalipa upya kama hukuchaguliwa mwanzo
 
Ishu siyo kulipa upya ishu hapa waweke vyuo na kozi zenye nafasi
Unaweza omba vyuo ambavyo vimejaa na ukakosa tena
Mwaka jana walionyesha vyuo vyenye slots, this time hawajafanya hivyo. Nimejaribu kuwatafuta hawapatikani kwenye simu.
 
Mwaka jana walionyesha vyuo vyenye slots, this time hawajafanya hivyo. Nimejaribu kuwatafuta hawapatikani kwenye simu.
Hapo ndo shida sasa,hapa watu wataliwa kumi kumi zao afu matokeo yakaja yaleyale kuwa Hanna nafasi
 
Back
Top Bottom