Utumishi wa uma ni "rusha roho"

nkese

JF-Expert Member
Mar 8, 2017
3,067
2,808
Kama ni gharika, hili ni balaa!

Tangu wiki iliyopita, kuna orodha ya watumishi wametumbuliwa kwa madai ya kutokidhi vigezo.

Tetesi ni kuwa " uhakiki wa vyeti" bado unaendelea n.a. matokeo ni hatua za kuwaondoa kwa fedheha!

Ktk hospitali ya mkoa wa Shinyanga waganga wawili ni miongoni mwa wahanga wa hivi karibuni.

Nafasi za ajira kwa wahitimu wa vyuo vyetu naona zinaandaliwa ili iwe ajenda ya 2020!

Wadau naomba tupeane taarifa sehemu zenu hali ikoje.

Nawasilisha.
 
Mkuu,
Watendaji wa Kata na Vijiji yaani WEO na VEO nao pia wameondolewa kwenye utumishi wa Umma, kisa elimu yao ni std 7 mbaya zaidi hata mshahara wa Mwezi Februari wamenyimwa !!
 
Back
Top Bottom