UZZIMMA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2014
- 410
- 477
Kwa tetesi au uhalisia kwa mnavyojua, ni lini NACTE watafungua dirisha la udahili kwa mwaka wa masomo 2017/2018.
Tumekaa mitaani, hatuna la kufanya tunawasubiri NACTE. Kisha naona mwaka huu wamechelewa sijui hadi lini, mimi nina kihelehele mwenzenu. Hebu nitieni moyo kwa anayejua hata tetesi anijulishe.
Uwwii najipa moyo hadi nimechoka!