Msaada: Tusiime shule ya advance inapatikana wapi na ada tsh ngapi?

Msaada: Tusiime shule ya advance inapatikana wapi na ada tsh ngapi?

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2017
Posts
428
Reaction score
578
Mambo VP?
Mimi ni muhitimu wa form4 2017 namshukuru mungu nimefaulu mtihani wa taifa na nimepata division 2.18
Na huu ndio ufaulu wangu
English=A
Bio=B
Math=C
Geo=C
Ksw=C
Civ=c
Phy=C
Chem=C
History=C

Nisaidieni. Wakuu
 
Mambo VP?
Mimi ni muhitimu wa form4 2017 namshukuru mungu nimefaulu mtihani wa taiga na nimepata division 2.18
Na huu ndio ufaulu wangu
English=A
Bio=B
Math=C
Geo=C
Ksw=C
Civ=c
Phy=C
Chem=C
History=C

Nisaidieni. Wakuu
Duh hujajibiwa bado ingia Google acha kuwa lege lege,,
 
Mambo VP?
Mimi ni muhitimu wa form4 2017 namshukuru mungu nimefaulu mtihani wa taiga na nimepata division 2.18
Na huu ndio ufaulu wangu
English=A
Bio=B
Math=C
Geo=C
Ksw=C
Civ=c
Phy=C
Chem=C
History=C

Nisaidieni. Wakuu
Tabata ,saanene DSM ,ada million 4
 
Unapanda gari za segerea, unashukia sanene, ada ukifika utaijua
 
9e00cf97a955b415ac8c5ae2fce7b839.jpg
 
Tuition ya Biology,Chemistry Advanced Kwa Dar hasa mitaa ya Mwenge na Au Makumbusho wapi anaweza pata au Mjini Huku kariakoo na Ilala wapi kuna tuition ya ukweli Kwa masomo husika
 
Mambo VP?
Mimi ni muhitimu wa form4 2017 namshukuru mungu nimefaulu mtihani wa taifa na nimepata division 2.18
Na huu ndio ufaulu wangu
English=A
Bio=B
Math=C
Geo=C
Ksw=C
Civ=c
Phy=C
Chem=C
History=C

Nisaidieni. Wakuu
Dogo una washwa sanaaa
Kila days post za shule Mara kubandika matokeo yako!
Hongera umepita japo HUJAFAULU!!
 
Back
Top Bottom