Kwa ufaulu huu naweza kupata electronic and telecomunication?

Kwa ufaulu huu naweza kupata electronic and telecomunication?

Princ

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2017
Posts
285
Reaction score
91
Habari zenu wana forum
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka Jana 2017
Nimefaulu kwa alama kama mnavyo ona hapo chini
  • Civics D
  • Geography C
  • Kiswahili C
  • English C
  • Chemistry D
  • Engineering Science D
  • Mathematics F
  • Electrical Droughting C
In short nina III ya 24
Sasa kwa ufaulu huu naweza pata chuo kwa cause ya Electronics and Telecommunications ?

Kama naweza pata ni chuo gani basi kitanifaa kwa upande wa certificate au diploma.

Itapendeza zaidi kama mtanisaidia.
Natanguliza shukrani zangu.
By: Mkorea.
 
Ngoja waje wajuzi wa mambo watakusaidia...
 
mathematics umeharibu huwez kupata engineering ,,,afya pia hupati hujasoma Biology
 
Huwezi kupata kwa hiyo F ya hesabu
 
Vip kuhusu diploma ya Information Communication Technology (ICT) inawezekana?
 
Habari zenu wana forum
Mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka Jana 2017
Nimefaulu kwa alama kama mnavyo ona hapo chini
  • Civics D
  • Geography C
  • Kiswahili C
  • English C
  • Chemistry D
  • Engineering Science D
  • Mathematics F
  • Electrical Droughting C
In short nina III ya 24
Sasa kwa ufaulu huu naweza pata chuo kwa cause ya Electronics and Telecommunications ?

Kama naweza pata ni chuo gani basi kitanifaa kwa upande wa certificate au diploma.

Itapendeza zaidi kama mtanisaidia.
Natanguliza shukrani zangu.
By: Mkorea

Kwa nini usijipinde urudie kupiga Paper la Math tu aleast ufumua B au A yake?
 
Vip kuhusu diploma ya Information Communication Technology (ICT) inawezekana?
Hiyo F ya math ndo mchawi wako
Future yako kwenye science imekuwa nyembamba kama tundu la sindano
 
Back
Top Bottom