Wadau naomba kwa yeyote anayejua kama tangazo la kutuma maombi vyuo vya afya intake ya september je limetoka? naombeni msaada wenu tafadhali anayejua anijulishe
Wanajamvi habari za leo?
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia NECTA examiners report (especially kwa mitihani ya kidato cha nne) niko interested sana na somo la History. Kuna wakati nilipata...
ArcGIS can do the best work in coordinates conversion from one format to another with highly accurate which will keep #Spatial #Analysis to be great..Friends welcme all together to Learn this task...
Habari wadau,
Nina jirani yangu yeye ni mfanyakazi wa serikalini, mwaka jana alirisiti mtihani wa kidato cha nne na kufanikiwa kupata credit 3 sasa ana mpango wa kufanya mtihani wa kidato cha 6...
Tangu miaka ya 1930, serikali ya Tanzania iliweka utaratibu wa kupunguza upungufu wa madaktari bingwa nchini. Kwa mujibu wa utaratibu huu, kuna ngazi tatu za wataalam wa huduma za afya.
Ngazi...
Wakuu!
Heshima kwenu.
Nina research project nafanya katika shule mbalimbali zilizopo dsm, hasa za kata.
Ninaomba msaada wa kuelekezwa wapi shule za sec. za DSM zinapatikana. Uzi huu uwe maalum...
Wasalaam. Nianze na kumshuru m/mungu mana nilichokua nakitaka nimekipata, miez kadhaa ilopita nilileta uzi apa nikitaji cd au dvd kwa masomo ya o level . Juz nimeckia clauds kuna mwl katangaza ana...
Habari za wakti huu msomaji... Ni matumaini yangu kwamba u mzima wa Afya na umeamka salama kutimiza majukumu yako ya Leo.
Leo ni siku muhimu usikubali ipotee.
One day can make you grow.
Karibu...
Hello all JamboForums users. I'm from Ukraine (do you know this country? :) ). Now it's to hard for me search any information in African internet because I don't know your languages and don't know...
Kama kawaida ya mwongozo wa vyuo kutaka kila chuo kuwa na serikali za wanafunzi kwa ajili ya kushughulikia maswala mbalimbali ya wanafunzi kwa ustawi wao na taaluma yao.
Kesho tarehe 01/06/2018...
Hatimaye matokeo ya cpa yaliyochelewa yatolewa ni yale ya Nov 2017, waliopata CPA ni 450, kwa matokeo kamili pitia link hapo chini ,hongera kwa wote waliofanikisha
www.nbaa.go.tz news
Katika ile hali ya kutaka kila kiongozi aonekane anawajibika,walimu Simiyu wameambiwa kipindi cha likizo waende makambi kufundisha form 2&4.Hakuna posho,wa mahala pa kulala,eti watatumia ofisi na...
Jamani mwenye joining instruction za DAKAWA TEACHERS COLLEGE maan dah siwaelewi kabsa jamaa..mpaka post zinatoka ilikuwa nikwamba nisubir mpaka chuo kitakapo wasiliana na mimi...lakin siku...
Nimekaa na kufikiria kwa kipindi sasa,mwisho nimegundua ukweli kuwa tatizo la wasomi tanzania bado lipo.
Kwa akili yangu, mtaalamu ni mtu huru asiye na ushabiki wala upande kwa nafasi yake ya...
Q.1 Local healer from Nanyumbu Distict claimed that eating Kisamvu among people living with HIV reduces viral load. A study was designed to examine the effect of Kisamvu on viral load among HIV...
Guys naombenii tusaidiane kuhusu info ya somo la computer. Je ni kuna combination yoyote ya masomo ya A-level inayohusisha somo la computer?? Kama ipo ni inapatikana shule zipi nchini Tanzania...
Wadau Napenda Kufaham Fursa Kwa walimu wa mahitaji maalumu au wasomi wa hii taaluma. Je wanahitajika sana au ni the same na walimu wakawaida.
NOTE- Walimu wa Mahitaji Maalumu Ni waalimu ambao...