Wanajamvi habari za leo?
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia NECTA examiners report (especially kwa mitihani ya kidato cha nne) niko interested sana na somo la History. Kuna wakati nilipata kama za miaka miwili kwenye mtandao, bahati mbaya flash disk yangu ilicrash nikapoteza kila kitu. Sasa najaribu kuzitafuta mtandaoni nashindwa kabisa sijui nakosea wapi. Kama kuna mwenye uelewa zaidi anaweza kunisaidia online source. KAma kuna mtu anazo naomba anisaidie, unaweza kunipm ili nikupe namna rahisi ya mimi kuzipata. Nahitaji at least ya miaka kumi (2005-2014)
UPDATES
Mtandaoni nimepata ya mwaka 2013 tuu. Naendelea kusaka, atakayepata zingine anitupie