Edc Tz
Member
- Apr 20, 2018
- 60
- 38
Wadau Napenda Kufaham Fursa Kwa walimu wa mahitaji maalumu au wasomi wa hii taaluma. Je wanahitajika sana au ni the same na walimu wakawaida.
NOTE- Walimu wa Mahitaji Maalumu Ni waalimu ambao wapo trained kwa ajili ha kufundisha wanafunzi ambao wapo tofaut na wengine (Walemavu). Kwa mfano wasiosikia, wasioona na wenye mitindio ya ubongo na wengine ambao wana matatzo yasiyo ya kawaida..