Kurisiti mtihani wa kidato cha sita.

Kurisiti mtihani wa kidato cha sita.

Dannis

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2016
Posts
1,603
Reaction score
1,757
Habari wadau,
Nina jirani yangu yeye ni mfanyakazi wa serikalini, mwaka jana alirisiti mtihani wa kidato cha nne na kufanikiwa kupata credit 3 sasa ana mpango wa kufanya mtihani wa kidato cha 6 mwaka ujao kama mtahiniwa wa kujitegemea kwa mchepuo wa Sanaa (HGL).

Amekuja kwangu kuniomba ushauri nikaona ni vyema nilete hapa najua kuna waliopitia hatua kama hii.
 
Back
Top Bottom