Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,312
- 40,136
.
Aaah ana 1 ya 8Kwani mwanao anepata nafasi...?? Apate nafasi kwanza...
Navyofahamu shule za Kanisa Katoliki kama Rosmin adai inaweza kimbilia mpaka 1.8-2Mil
Ni shule bomba mkuu, kwa mwaka wa masomo 2013/2014
Ada ya shule na chakula 935,000
Mengineyo wanaosoma Arts 530,000
Jumla muhula wa kwaza 1,465,000
Muhula wa pili 935,000
Jumla kuu kwa mwaka 2,400,000
Michango Mingineyo kwa wanaosoma Arts 530,000 kwa mwaka
Ni shule nzuri inamilikiwa na Mapadre wa Shirika la Rosmin(Rosminian Fathers)Aaah ana 1 ya 8
Nashukuru mkuu otorongoroKwani mwanao anepata nafasi...?? Apate nafasi kwanza...
Navyofahamu shule za Kanisa Katoliki kama Rosmin adai inaweza kimbilia mpaka 1.8-2Mil