Nashauri wafanye kama ifuatavyo:
Wamwite na kumpa karatasi lake la majibu ya kiswahili, halafu wampe karatasi nyingine ya majibu aitumie kutafsiri sasa majibu yake kwenda kwenye lugha ya...
Ndio wandugu, kwa yeyote anayetatizika na suala hili zito la kufanya application za vyuo mbalimbali nipo hapa kwa msaada zaidi. Kwa wale mliopo Dar es saalm tunaweza kuonana moja kwa moja...
Wadau nisaideni kunijuza juu ya chuo ambacho kinaendesha course ya 3D animation kwa hapa tanzania(DSM).
Vyuo vingi nilivyotembelea vinaendesha course ya graphics design tuu.nawasilisha!
NB:Kama...
Wakuu naomba kwa wanaojua taratibu za kulipia online application kwa anayetaka kulipia hii fees ya kujisajili chuon SUA anisaidie process kwani nimejaza kwenye ile portal yao lakini nikishafika...
Bachelor of Veterinary Medicine: Hii ina maana gani tafadhali: Two principal passes in Biology/Zoology and Chemistry and a pass in Physics/ Mathematics/ Science and Practice of Agriculture at the...
Habari zenu wa jf, Nina mdogo wa Rafiki yangu wa form4 hawa waliomaliza juzi alifaulu kwa Division 3, kombi zote zimebalancy tatizo hajachaguliwa na pesa hana zakumpeleka private,anaomba ushauri...
wakat niko kweny daladala la gongo la mboto naelekea kumtembelea jamaa yangu pande za kisemvule kuna jamaa akawa anamuomba ushauri mwenzake..
huyo jamaa kasomea procurement sasa anamwambia...
Tanzania Association of Managers and Owners of Non-Government Schools and Colleges (Tamongsco) Secretary General, Benjamin Nkonya
Performance in science subjects has slightly improved in...
Habari wana Jamvi.
Naomba msaada, je mwaka huu mwalimu wa shule ya msingi wenye grade A haruhusiwi kusoma Diploma? Maana nina ndugu yangu anahitaji kujiendeleza ila vyuo vingi havitoi hii course...
Wakuu naomba kuuliza. Kwa mfano umechaguliwa chuo let say UDSM lakn facult ulopangiwa hujaridhika nayo, je unaweza kwenda kuibadili na kusoma ile uipendayo?
Kuna ndugu yangu amepangwa hapo Matai Form v 2018. Shule ipo Wilaya ya Kalambo, Rukwa.
Kwa masikitiko, ndugu yangu anasema shule iko katika hali mbaya sana, kiasi kwamba mabweni hayana madirisha...
IN SUMMARY
According to the study, the monthly salary and allowances of a full professor in Kenya are an average of $2,200 compared with $4,900 in Rwanda, $3,200 in Tanzania and $ 1,150 in...
Wakuu
Ni miaka kadhaaa sasa tangu nilipo hitimu kidato cha nne katika shule Fulani ya kata hapa kwetu
Nakumbuka shule yetu ya kata tulifaulu watu wengi kuliko miaka yote ya nyuma....
Division...
Hivi karibuni, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeangaza vigezo na masharti mapya ya kujiunga na kozi mbalimbali za afya gazi ya cheti na stashahada. Kwa mujibu wa taarifa ya katibu mkuu wa...