Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jamani B+ unatakiwa uwe unapata marks ngapi at least kwa kila somo.. on average upate ngapi kwa kila somo upate B+ Approved Minimum Entry Requirements for Health Related Programme (Diploma...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kuna habari kwamba walimu wastaafu shule za msingi wameanza kuvuta mkwanja wao. Wadau niambieni mafao ya mwalimu aliyefanya kazi miaka 20 pesa yake inakokotolewaje? Wengine bado hawajapata.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mtambo huo umegaunganishwa na Simu janja (Smart phone) ya Mkuu wa shule na msimamizi wa wanafunzi, Wanafunzi wawili wa kidato cha sita 2018 katika shule ya sekondari ilboru iliyopo mkoani Arusha...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu field kwenye hii programme ni wap hasa? Na je ajira zake zikoje maana elimu ya watu wazima siku hizi haipewi kipaumbele. Msaada kidogo hapa
1 Reactions
14 Replies
9K Views
Msaada wakuu kwa mwenye kukifaham chuo kizuri cha bei nafuu cha AFYA Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Ivi mtu ambae anafanya mtihan kama pc kwa mar ya kwanza (yaan hakufanya mara ya mwanzo akafeli then aka reseat) je anakuwa saw na yule aliefany mar ya kwanza then aka repeat ? Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
641 Views
ict
wana jf samahanini nilikuwa naomba mnijuze degree ya ict ni miaka mingapi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
637 Views
Wadau mwanangu ndo anajiandaa kuingia chuoni mwaka huu lakini pamoja na kwamba anatamani sana jeshi, bado hailewi anatakiwa achukue course gani ili baada ya kumaliza degree yake basi akitaka...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona...
13 Reactions
154 Replies
25K Views
Habari zenu, ningeomba kushauriwa kuhusu hili.Mimi ni kijajana wa Tanzania niliemalizia masomo yangu ya primary na secondary nchini kenya, kwasasa nataka kujiunga na chuo kikuu kenya illa wasiwasi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
habari wadau, naomba msaada mahali pazuri pa kufanyia review class CPA kwa mkoa wa mwanza.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Kichwa cha habari kinajitosheleza sasa ninaomba ushauri wenu kunarafiki yangu alifanya mtihani wa kidato cha sita kwa mchepuo wa EGM akadondoka na kupata S ya GS na yeye anatiania ya kupacheti cha...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Naomba msaada nitapata vipi vitabu vya NGAIZA kuna mdogo wangu yupo shule anataka Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
736 Views
Wakuu naomba ushauri ,Mtu ni mwalimu wa ngazi ya stashahada lakini alisoma HGE kwa A -level na masomo anayofundisha ni HISTORY na Geography . Na umefika wakati anataka kusoma ngazi ya...
1 Reactions
3 Replies
762 Views
Tafathali,mwenye ujuzi wowote na hii faculty anipe mwongozo
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wadau Jamani nijuzeni kama hii kozi ya Air Ticketing inayotolewa katika hivi vyuo vya mitaani ina nafasi za ajira kweli hapa nchini kwetu au ndugu zetu wanaliwa hela tu za bure!??
0 Reactions
15 Replies
5K Views
HABARI ZA LEO WANDUGU!!! MATOKEO YANGU NI div.iii (PCB)(SEE)respectively. NAOMBA MWENYE UELEWA KUHUSU MIKOPO YA BODI..! HIVI NAWEZA KUPATA KAMA NILIFANYA ACSEE 2013 KAMA MTAHINIWA...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Udahili wa nacte kwa vyuo vya ngazi ya cheti na diploma utamalizika tarehe 8th September, 2018 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bachelor in degree of legal and industrial metrology Hii degree ipo je kwa anayeifahamu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
385 Views
Back
Top Bottom