Ushauri unahitajika

Ushauri unahitajika

heavyload

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Posts
925
Reaction score
528
Wakuu naomba ushauri ,Mtu ni mwalimu wa ngazi ya stashahada lakini alisoma HGE kwa A -level na masomo anayofundisha ni HISTORY na Geography .

Na umefika wakati anataka kusoma ngazi ya shahada.Asome kozi gani ukizingatia masomo aliyofaulu vizuri ni Historia na Economics.

Tafadhali ushauri wenu please [emoji870]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom