shadrack tangulia
Member
- Jul 8, 2015
- 88
- 38
Kichwa cha habari kinajitosheleza sasa ninaomba ushauri wenu kunarafiki yangu alifanya mtihani wa kidato cha sita kwa mchepuo wa EGM akadondoka na kupata S ya GS na yeye anatiania ya kupacheti cha form6. Anataka abadirishe combination asome HGK kama private candidate, sasa ushauri je?, Anaweza kurudia naomba ufafanuzi tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app