Maprofesa UDSM Wanyimwa Mkataba wa Kazi

Maprofesa UDSM Wanyimwa Mkataba wa Kazi

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,814
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona Prof. pamoja na manjonjo yake yote anatoa mchozi kwa kunyimwa mkataba utafikiri ilikuwa haki yake, JIPANGE PROF mbwembwe nyiiingi kumbe ulikuwa hujajiandaa kustaafu. Kazi kufuga minywele na midevu bila mpangilio, achien nafasi hizo vijana kina Dr. Mkumbo, Dr. Shule, Dr. Mbamba, Dr. Mutembei wakamate vitengo hivyo. Safi Sana UTUMISHI kuwanyima hawa mikataba maana hawa ndo walikuwa wanakamata watu bila mpangilio pale UDSM nilisoma Law daah utafikiri jiwe miaka minne ya Taaabu utafikiri unasomea uchawi!!! kumbe sheria tu daa bora mkapumzike labda wadogo zenu kama si wanetu watapumua sasa.
 
Elimu haina UZEE; America pamoja na kuwa na WASOMI kibao VYUO VYAO VIKUU HAVINA AGE LIMITATION kwa WAALIMU WAO... as long as unaweza kufungua huo MDOMO wanahitaji hiyo KNOWLEDGE yako... SISI tunataka UZIMIKE ukiwa KIJANA wa MIAKA 65 ati kutoa nafasi kwa VIJANA... wako wapi? wengi wao wako kwenye SIASA...

Badala ya kuwanyenyekea HAO WAZEE na kufanya HAYO MADARASA HUKO CHUO KIKUU yasiwe MAKUBWA na kujazana kama DALADALA tanawakomoa kuwanyima AJIRA na Pesa zipo; ni bora hizo pesa tuzitumia kuajiri WAPIGA PICHA 3 wa RAIS kwa MANUFAA ya SERIKALI; DINI; URAFIKI...

Kweli tutafika??? Yaani wewe ni kutaka VIJANA washike HIVYO VITENGO? nadhani Kama ni CHUO KIKUU DAR wana system ya kurotate na wanapokezana VIZURI kwahiyo sio kweli Wazee ndio wanashikilia HIVYO VITENGO; Mfano mzuri ni VICE CHANCELLOR... alikuwa kijana alipokuwa DEAN pale POLITICAL SCIENCE and PUBLIC ADMIN ilikuwa kama 20yrs ago...

NCHI NYINGI wanatreasure OLD GUARDS; SISI TUNATUPA... OH Hatujali ELIMU anyways... tunajali MIKOPO!!!
 
Tanzania inaweza kuwa nchi ya kwanza kuwanyima Maprofesa wastaafu mikataba ya kuendelea na kazi. Mimi nimeona hata nchi zilizoendelea profesa akistaafu anapewa uhuru wa ama kuendelea na kazi au kupumzika. Labda uwe ni Dr tu unaweza ukanyimwa mkataba, lakini profesa anabembelezwa. Ni aibu kwa tanzania, nchi maskini ambayo vyuo vikuu vimejaza matutorial assistants halafu inawanyima mikataba maprofessor. Ni ujinga uliopindukia.

Kumuandaa profesa mmoja hadi kufikia nafasi hiyo ya uprofesa inachukua miaka mingi sana na wengi wao wanaupata uprofessor wakiwa karibu na age ya kustaafu. Halafu wakiupata tu wanatakiwa kustaafu kabla hata hawajautumia vema huo uprofesa wao. Then unawanyima mikataba ya kuendelea na kazi. Huo ni wehu, hasa ukizingatia nchi yenyewe ni maskini. Haina hata uwezo wa kuajiri maprofesa wa nje, kwanini isitunze maprofessor wa ndani?

Lakini zaidi ya yote, ukiona mtu amefikia kuwa profesa ina maana alisacrifice miradi binafsi. Akatumia muda wake mwingi kwenye researches na kuandika na kuweza kufikia nafasi hiyo. Ndiyo maana idadi kubwa ya maprofesa ni maskini. Sasa unapomnyima mkataba huku kamshahara kenyewe ulikuwa unampa ka kubabaishia, halafu PPF inalipa kinjiwa. Hela ya pension inatoka kwa manati, mnategemea akafanye nini huyu profesa? Ni halali yao walie.

Na hii itakatisha tamaa watu wengi sana kufanya researches. Na kusababisha wengi waache kuhangaika na publications, badala yake wajikite kwenye miradi yao binafsi ili kuandaa maisha ya baada ya kustaafu. Utumishi wawe makini na mambo wanayoyafanya dhidi ya hawa watu wachache na mhimu zaidi kwa taifa. Kazi kuwabeba wanasiasa tu wanawaacha watu waliosota kama hawa.
 
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona Prof. pamoja na manjonjo yake yote anatoa mchozi kwa kunyimwa mkataba utafikiri ilikuwa haki yake, JIPANGE PROF mbwembwe nyiiingi kumbe ulikuwa hujajiandaa kustaafu. Kazi kufuga minywele na midevu bila mpangilio, achien nafasi hizo vijana kina Dr. Mkumbo, Dr. Shule, Dr. Mbamba, Dr. Mutembei wakamate vitengo hivyo. Safi Sana UTUMISHI kuwanyima hawa mikataba maana hawa ndo walikuwa wanakamata watu bila mpangilio pale UDSM nilisoma Law daah utafikiri jiwe miaka minne ya Taaabu utafikiri unasomea uchawi!!! kumbe sheria tu daa bora mkapumzike labda wadogo zenu kama si wanetu watapumua sasa.

Hao vijana wapo wapi? Usifananishe academics na kazi za kupiga deal mjini dogo, kuwa profesa ni mchakato wa muda mrefu kidogo, lakini cha muhimu zaidi ni uzoefu; unapoenda juu zaidi unapata uzoefu zaidi na zaidi ambao ndio tunu ya kuwaandaa young faculty/academic. kama walivyosema watu hapo juu; nchi zilizoendelea hawa wazee ndio wanaokabidhiwa kazi ya mentorship akiwa anasaidia kusimamia wanafunzi wa PhDs na Masters kwa mbali; nimekwenda UCT (University of Cape Town) Nimekutana na profesa wanatembelea wheel chair (70+ and 80+) lakini bado wanafanyakazi; nina rafiki yangu ni profesa university of Florida (she is 77 yrs old) na hana mpango wa kuacha kufundisha. Tuache siasa tutaua elimu yetu.

Nafikiri ni muda mzuri kwa private university kuwatumia hawa watu kwa manufaa yao, kwahiyo waimarishe programu zao za postgraduate wawasaidie. MVINYO ULIOKAA SANA NDIO MZURI....
 
Nina wasiwasi na maelezo ya mleta mada.
 
Sijajua anachoshabikia mleta mada unless ana defected vision na haangalii maslahi ya taifa hili.. ooh Tanzania.. aliyeturoga kweli alituweza
 
Ni jmabo la kusikitisha kuona tunawaacha hawa Ma Profesa kisa umri ilhali wana uwezo wa kufanya kazi zao huku ikidai ina uhaba wa waalimu katika Vyuo Vikuu.
 
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona Prof. pamoja na manjonjo yake yote anatoa mchozi kwa kunyimwa mkataba utafikiri ilikuwa haki yake, JIPANGE PROF mbwembwe nyiiingi kumbe ulikuwa hujajiandaa kustaafu. Kazi kufuga minywele na midevu bila mpangilio, achien nafasi hizo vijana kina Dr. Mkumbo, Dr. Shule, Dr. Mbamba, Dr. Mutembei wakamate vitengo hivyo. Safi Sana UTUMISHI kuwanyima hawa mikataba maana hawa ndo walikuwa wanakamata watu bila mpangilio pale UDSM nilisoma Law daah utafikiri jiwe miaka minne ya Taaabu utafikiri unasomea uchawi!!! kumbe sheria tu daa bora mkapumzike labda wadogo zenu kama si wanetu watapumua sasa.

Huyu profesa uliomwelezeakma vile unafurahia kunyimwa kwake kuongezewa muda wa mkataba wake - ulikuwa na bifu nae.....
 
Mkijua alicho ambiwa yule mwanga alie ingie kwenye lile shimo kule bagamoyo mtaokoka
Sijajua anachoshabikia mleta mada unless ana defected vision na haangalii maslahi ya taifa hili.. ooh Tanzania.. aliyeturoga kweli alituweza
 
sijui tunakoelekea vijana wenyewe wa kujaza hizo nafasi hakuna, tunakoelekea vyuo vikuu vya binafsi vitapanda sana chati kama vitatumia hao maprofessor waliokataliwa na serikali!!!
 
huyu mleta mada mpuuzi kweli. anashabikia kisa alikuwa anakamatwa na maprofesa..hana hoja nyingine
 
Acheni kutetea ujinga. Hao maprofesa wa UD, wamepeana huo uprofesa kwa urafiki. Mngelikuwa mnaongelea maprofesa wa ulaya au marekani ningewaelewa. Angalieni vigezo vinavyotumika kutoa uprofesa hapa UD ndio mtaelewa. Wanapeana uprofesa kwa urafiki na kujuana. Kama mkandara ni rafiki yako, hata kesho unapata uprofesa kwa kuandika makala hapa JF. Kwa kifupi, hawana machapisho yanayoeleweka katika majarida ya kimataifa, halafu nyie bado mnawaita maprofesa. Waende kuendesha baa zao na kufuga kuku.
 
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona Prof. pamoja na manjonjo yake yote anatoa mchozi kwa kunyimwa mkataba utafikiri ilikuwa haki yake, JIPANGE PROF mbwembwe nyiiingi kumbe ulikuwa hujajiandaa kustaafu. Kazi kufuga minywele na midevu bila mpangilio, achien nafasi hizo vijana kina Dr. Mkumbo, Dr. Shule, Dr. Mbamba, Dr. Mutembei wakamate vitengo hivyo. Safi Sana UTUMISHI kuwanyima hawa mikataba maana hawa ndo walikuwa wanakamata watu bila mpangilio pale UDSM nilisoma Law daah utafikiri jiwe miaka minne ya Taaabu utafikiri unasomea uchawi!!! kumbe sheria tu daa bora mkapumzike labda wadogo zenu kama si wanetu watapumua sasa.

Wewe muanzisha mada ulisoma Law kweli. Mbona upeo wako hauna tofauta na upeo wa kuku? Kadri umri unavyokuwa mkubwa ndivyo binadamu mwenye akili anavyo accumulate Knowledge zote mbili: ile ya vitabuni, na ile ya mtaani.

Watu kama hao unaoshabikia kunyimwa nafasi ni lulu kwa taifa. Ni lulu kwa chuo chochote duniani. Kuna mahali kibabu wa miaka karibia 80 anafundisha The History of Western European Civilization na kozi hii is the most enriching course katika semester. Halaf anatokea zumbukuku mmoja eti kasoma law UDSM anashabikia lulu inatupwa. You must be out of your mind! Watu wa aina yako ndo hao wananiforce kutaka kujihusisha na siasa at any cost.

Fools like you must get out of power! OUT...
 
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona Prof. pamoja na manjonjo yake yote anatoa mchozi kwa kunyimwa mkataba utafikiri ilikuwa haki yake, JIPANGE PROF mbwembwe nyiiingi kumbe ulikuwa hujajiandaa kustaafu. Kazi kufuga minywele na midevu bila mpangilio, achien nafasi hizo vijana kina Dr. Mkumbo, Dr. Shule, Dr. Mbamba, Dr. Mutembei wakamate vitengo hivyo. Safi Sana UTUMISHI kuwanyima hawa mikataba maana hawa ndo walikuwa wanakamata watu bila mpangilio pale UDSM nilisoma Law daah utafikiri jiwe miaka minne ya Taaabu utafikiri unasomea uchawi!!! kumbe sheria tu daa bora mkapumzike labda wadogo zenu kama si wanetu watapumua sasa.

Blessings ! kama hiyo ni kweli then IT IS COMPLETELY WRONG, academics hazina uzee, ualimu especially wa chuo kikuu ni fani endelevu sana kuliko cho chote kile. Mwalimu wa Chuo kikuu hasa kama ni level hiyo unayoisema lazima ni HAZINA KUBWA. Nimesoma Ukraine (Kiev) miaka ya 80 Aerodynamics tulifundishwa na Prof. ana miaka 76 lakini hata walimu wenzake Chuoni ambao walikua nusu ya umri wake walikuwa wanamvulia kofia. It does not make sense!
 
Niambieni hapo UD, kuna professa gani mwenye CV kama hii? Huyu professa akinyimwa mkataba ndio nitashangaa.
Papers (since 2000)

In press

Davies, M. and Egan, A.

Delusion, cognitive approaches: Bayesian inference and compartmentalisation.

In K.W.M. Fulford, M. Davies, R.G.T. Gipps, G. Graham, J. Sadler, G. Stanghellini and T. Thornton (eds),

The Oxford Handbook of Philosophy and Psychiatry.

Oxford: Oxford University Press.

Aimola Davies, A.M., White, R.C. and Davies, M.

Spatial limits on the nonvisual self-touch illusion and the visual rubber hand illusion: Subjective experience of the illusion and proprioceptive drift.

Consciousness and Cognition.

2013

Aimola Davies, A.M., Waterman, S., White, R.C. and Davies, M.

When you fail to see what you were told to look for: Inattentional blindness and task instructions.

Consciousness and Cognition, 22, 221–30.

doi: 10.1016/j.concog.2012.11.015

2012

Stone, T. and Davies, M.

Theoretical issues in cognitive psychology.

In N. Braisby and A. Gellatly (eds), Cognitive Psychology (Second Edition).

Oxford: Oxford University Press, 639–79.

2011

Smithson, M., Davies, M. and Aimola Davies, A.M.

Exploiting test structure: Case series, case-control comparison, and dissociation.

Cognitive Neuropsychology, 28, 44–64.

doi: 10.1080/02643294.2011.619524

White, R.C., Aimola Davies, A.M. and Davies, M.

Two hands are better than one: A new assessment method and a new interpretation of the non-visual illusion of self-touch.

Consciousness and Cognition, 20, 956–64.

doi:10.1016/j.concog.2011.03.021

2010

Double dissociation: Understanding its role in cognitive neuropsychology.

Mind and Language, 25, 500–40.

doi: 10.1111/j.1468-0017.2010.01399.x

White, R.C., Aimola Davies, A.M., Kischka, U. and Davies, M.

Touch and feel? Using the rubber hand paradigm to investigate self-touch enhancement in right-hemisphere stroke patients.

Neuropsychologia, 48, 26–37.

doi:10.1016/j.neuropsychologia.2009.08.006

White, R.C., Aimola Davies, A.M., Halleen, T.J. and Davies, M.

Tactile expectations and the perception of self-touch: An investigation using the rubber hand paradigm.

Consciousness and Cognition, 19, 505–19.

doi:10.1016/j.concog.2009.08.003

Aimola Davies, A.M., White, R.C., Thew, G., Aimola, N.M.V. and Davies, M.

Visual capture of action, experience of ownership and the illusion of self-touch: A new rubber hand paradigm.

Perception, 39, 830–8.

doi:10.1068/p6610

Assessment of anosognosia for motor impairments.

In J.M. Gurd, U. Kischka and J.C. Marshall (eds),

Handbook of Clinical Neuropsychology (Second Edition).

Oxford: Oxford University Press, 436–68.

2009

Two purposes of arguing and two epistemic projects.

In I. Ravenscroft (ed.), Minds, Ethics, and Conditionals:

Themes from the Philosophy of Frank Jackson.

Oxford: Oxford University Press, 337–83.

Delusion and motivationally biased belief: Self-deception in the two-factor framework.

In T. Bayne and J. Fernández (eds), Delusions and Self-Deception:

Affective and Motivational Influences on Belief Formation.

Hove, E. Sussex: Psychology Press, 71–86.

Brain and mind.

In M.G. Gelder, N.C. Andreasen, J.J. López-Ibor and J.R. Geddes (eds),

The New Oxford Textbook of Psychiatry (Second Edition).

Oxford: Oxford University Press, 133–6.

Aimola Davies, A.M. and Davies, M.

Explaining pathologies of belief.

In M.R. Broome and L. Bortolotti (eds),

Psychiatry as Cognitive Neuroscience: Philosophical Perspectives.

Oxford: Oxford University Press, 285–323.

Aimola Davies, A.M., Davies, M., Ogden, J.A., Smithson, M. and White, R.C.

Cognitive and motivational factors in anosognosia.

Hove, E. Sussex: Psychology Press, 187–225.

2008

Consciousness and explanation.

In L. Weiskrantz and M. Davies (eds),

Frontiers of Consciousness: Chichele Lectures.

Oxford: Oxford University Press, 1–53.

2006

Foundational issues in the philosophy of language.

In M. Devitt and R. Hanley (eds), The Blackwell Guide to Philosophy of Language.

Oxford: Blackwell Publishers, 19–40.

Gareth Evans.

In D.M. Borchert (ed.),The Encyclopedia of Philosophy (Second Edition).

Macmillan Reference USA.

2005

Cognitive science.

In F. Jackson and M. Smith (eds),

The Oxford Handbook of Contemporary Philosophy.

Oxford: Oxford University Press, 358–94.

Davies, M., Aimola Davies, A.M. and Coltheart, M.

Anosognosia and the two-factor theory of delusions.

Mind & Language, 20, 209–36.

doi: 10.1111/j.0268-1064.2005.00283.x

2004

Aunty's argument and armchair knowledge.

In J.M. Larrazabal and L.A. Pérez Miranda (eds),

Language, Knowledge, and Representation.

Dordrecht: Kluwer Academic Publishers, 19–37.

Epistemic entitlement, warrant transmission, and easy knowledge.

Aristotelian Society Supplementary Volume, 78, 213–45.

doi: 10.1111/j.0309-7013.2004.00122.x

Reference, contingency, and the two-dimensional framework.

Philosophical Studies, 118, 83–131.

Reprinted in M. García-Carpintero and J. Macià (eds), Two-Dimensional Semantics.

Oxford: Oxford University Press, 2006, 141–75.

Davies, M. and Stoljar, D.

Introduction.

Philosophical Studies, 118, issue 1–2:

The Two-Dimensional Framework and its Applications:

Metaphysics, Language, and Mind, 1–10.

2003

Externalism, self-knowledge and transmission of warrant.

In M.J. Frápolli and E. Romero (eds), Meaning, Basic Self-Knowledge, and Mind:

Essays on Tyler Burge.

Stanford: CSLI Publications, 99–124.

The problem of armchair knowledge.

In S. Nuccetelli (ed.), New Essays on Semantic Externalism and Self-Knowledge.

Cambridge, MA: MIT Press, 23–55.

Philosophy of language.

In N. Bunnin and E.P. Tsui-James (eds),

The Blackwell Companion to Philosophy (Second Edition).

Oxford: Blackwell Publishers, 90–146.

Coltheart, M. and Davies, M.

Inference and explanation in cognitive neuropsychology.

Cortex, 39, 188–91.

Davies, M. and Stone, T.

Psychological understanding and social skills.

In B. Repacholi and V. Slaughter (eds), Individual Differences in Theory of Mind:

Implications for Typical and Atypical Development.

Macquarie Monographs in Cognitive Science.

Hove, E. Sussex: Psychology Press, 305–52.

2002

Langdon, R., Davies, M. and Coltheart, M.

Understanding minds and understanding communicated meanings in schizophrenia.

Mind & Language, 17, 68–104.

doi: 10.1111/1468-0017.00189

Stone, T. and Davies, M.

Chomsky amongst the philosophers.

Mind & Language, 17, 276–89.

doi: 10.1111/1468-0017.00200

2001

Knowledge (explicit and implicit): Philosophical aspects.

In N.J. Smelser and P.B. Baltes (eds),

International Encyclopedia of the Social and Behavioral Sciences.

Amsterdam: Elsevier Science Ltd., 12, 8126–32.

Davies, M., Coltheart, M., Langdon, R. and Breen, N.

Monothematic delusions: Towards a two-factor account.

Philosophy, Psychiatry and Psychology, 8, 133–58.

Davies, M. and Stone, T.

Mental simulation, tacit theory, and the threat of collapse.

Philosophical Topics, 29, 127–73.

2000

Externalism and armchair knowledge.

In P. Boghossian and C. Peacocke (eds), New Essays on the A Priori.

Oxford: Oxford University Press), 384–414.

Persons and their underpinnings.

Philosophical Explorations, 3, 43–62.

Interaction without reduction:

The relationship between personal and sub-personal levels of description.

Mind and Society, 1(2), 87–105.

Davies, M. and Coltheart, M.

Pathologies of belief.

Mind & Language, 15, 1–46.

doi: 10.1111/1468-0017.00122

Davies, M. and Stone, T.

Simulation theory.

In E.J. Craig (ed.), Routledge Encyclopedia of Philosophy Online.

London: Routledge.
 
Aunty’s argument and armchair knowledge.

In J.M. Larrazabal and L.A. Pérez Miranda (eds),

Language, Knowledge, and Representation.

Dordrecht: Kluwer Academic Publishers, 19–37.

Epistemic entitlement, warrant transmission, and easy knowledge.

Aristotelian Society Supplementary Volume, 78, 213–45.

doi: 10.1111/j.0309-7013.2004.00122.x

Reference, contingency, and the two-dimensional framework.

Philosophical Studies, 118, 83–131.

Reprinted in M. García-Carpintero and J. Macià (eds), Two-Dimensional Semantics.

Oxford: Oxford University Press, 2006, 141–75.

Davies, M. and Stoljar, D.

Introduction.

Philosophical Studies, 118, issue 1–2:

The Two-Dimensional Framework and its Applications:

Metaphysics, Language, and Mind, 1–10.

2003

Externalism, self-knowledge and transmission of warrant.

In M.J. Frápolli and E. Romero (eds), Meaning, Basic Self-Knowledge, and Mind:

Essays on Tyler Burge.

Stanford: CSLI Publications, 99–124.

The problem of armchair knowledge.

In S. Nuccetelli (ed.), New Essays on Semantic Externalism and Self-Knowledge.

Cambridge, MA: MIT Press, 23–55.

Philosophy of language.

In N. Bunnin and E.P. Tsui-James (eds),

The Blackwell Companion to Philosophy (Second Edition).

Oxford: Blackwell Publishers, 90–146.

Coltheart, M. and Davies, M.

Inference and explanation in cognitive neuropsychology.

Cortex, 39, 188–91.

Davies, M. and Stone, T.

Psychological understanding and social skills.

In B. Repacholi and V. Slaughter (eds), Individual Differences in Theory of Mind:

Implications for Typical and Atypical Development.

Macquarie Monographs in Cognitive Science.

Hove, E. Sussex: Psychology Press, 305–52.

2002

Langdon, R., Davies, M. and Coltheart, M.

Understanding minds and understanding communicated meanings in schizophrenia.

Mind & Language, 17, 68–104.

doi: 10.1111/1468-0017.00189

Stone, T. and Davies, M.

Chomsky amongst the philosophers.

Mind & Language, 17, 276–89.

doi: 10.1111/1468-0017.00200

2001

Knowledge (explicit and implicit): Philosophical aspects.

In N.J. Smelser and P.B. Baltes (eds),

International Encyclopedia of the Social and Behavioral Sciences.

Amsterdam: Elsevier Science Ltd., 12, 8126–32.

Davies, M., Coltheart, M., Langdon, R. and Breen, N.

Monothematic delusions: Towards a two-factor account.

Philosophy, Psychiatry and Psychology, 8, 133–58.

Davies, M. and Stone, T.

Mental simulation, tacit theory, and the threat of collapse.

Philosophical Topics, 29, 127–73.

2000

Externalism and armchair knowledge.

In P. Boghossian and C. Peacocke (eds), New Essays on the A Priori.

Oxford: Oxford University Press), 384–414.

Persons and their underpinnings.

Philosophical Explorations, 3, 43–62.

Interaction without reduction:

The relationship between personal and sub-personal levels of description.

Mind and Society, 1(2), 87–105.

Davies, M. and Coltheart, M.

Pathologies of belief.

Mind & Language, 15, 1–46.

doi: 10.1111/1468-0017.00122

Davies, M. and Stone, T.

Simulation theory.

In E.J. Craig (ed.), Routledge Encyclopedia of Philosophy Online.

London: Routledge.
 
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona Prof. pamoja na manjonjo yake yote anatoa mchozi kwa kunyimwa mkataba utafikiri ilikuwa haki yake, JIPANGE PROF mbwembwe nyiiingi kumbe ulikuwa hujajiandaa kustaafu. Kazi kufuga minywele na midevu bila mpangilio, achien nafasi hizo vijana kina Dr. Mkumbo, Dr. Shule, Dr. Mbamba, Dr. Mutembei wakamate vitengo hivyo. Safi Sana UTUMISHI kuwanyima hawa mikataba maana hawa ndo walikuwa wanakamata watu bila mpangilio pale UDSM nilisoma Law daah utafikiri jiwe miaka minne ya Taaabu utafikiri unasomea uchawi!!! kumbe sheria tu daa bora mkapumzike labda wadogo zenu kama si wanetu watapumua sasa.

Mkuu hii ni dalili tosha ya kuonyesha jinsi ya baadhi ya Watanzania tulivyo, ni watu wenye wivu sana, kuwasema wenzao vibaya nk, yaani mtu akisoma uzi wako unaonekana ulikuwa na bifu/chuki binafsi na Profesa huyo unaye mtaja kama ni sijui ni Manywere ambaye nafikili hana mchezo katika kazi zake i.e hataki watu wapewe degree za kuchonga au kama zile za kununuliwa online au barabarani sasa kwa kuwa ulipata kasheshe pale ndio maana unataka kulipiza kisasi kwa kumsema vibaya - nani kakwambia kusoma Chuo kikuu ni lele mama, wewe unafikili wanakuwekea tight deadline na kukupa kazi nzito kwa sababu gani? wanataka uwajibeki kikamilifu sio kuleta mambo ya NGONJERA na kusikiliza miziki kwenye hometheater na kuangalia tamthilia kwenye luninga.

Kwani Tanzania ina Chuo Kikuu kimoja tu cha DSM - mbona anaweza kupata kazi anytime hapa au nje ya nchi kuna Vyuo vingi vinavyo thamini elimu za watu sio Vyeo/Ulaji - Ungekuwa na bahati ya kusoma vyuo vikuu vya nje na kuona ma Profesa wao, wala usingeleta uzi huu hapa.

Reading between the lines nina hakika unafanya kazi hapo hapo UDSM au una ndugu yako wa karibu anaye pania kupandishwa cheo unaona anachelewa sana kubaki na U Dr. Unataka hawe Profesa fasta by hooks and crooks including kuwasema vibaya Watu ambao una/wana bifu nao ili waonekane hawafahi.

Kama mimi ningekuwa Makamu Mkuu wa Chuo ningewahita wale wote uliowataja na kuwahoji vizuri. Kwani Profesa ambaye yuko kwenye contact ana uwezo gani wa kuzuia walimu wenye shahada ya uzamivu kupanda cheo na kuwa Maprofesa, wapandishe watu vyeo tu bila ya kufuata VIGEZO, kisa kwa kuwa ana/wana shahada ya uzamivu lazima wawe ma Profesa.
 
Hii serikali yetu sijui huwa inapata wapi washauri wake kwani most of profesas wanapata uprofesa kwenye late 40s na50s kwa hiyo kumwandaa profesa ni mchakato wa muda mrefu sana na gharama kubwa lakini mtu uliye tumia gharama kubwa kumwanda una mtelekeza kiurahisi hivyo? nchi nyingi maprosa huwa wana achwa mpaka dakika za mwisho kabisa mfano chinuo achebe alikuwa80s na alikuwa anatembalea whealchair lakini walikuwa wanamtumia bado.
 
Asilimia zaidi ya 75 ya Maprofesa pale UD ni watoto wa Kitanzania waliozaliwa na vipaji mara baada ya Uhuru au Kabla ya Uhuru. Na vile vipaji wanavyo hadi leo. Asilimia kubwa walisomeshwa bure palepale UD ili wasiwe na mawazo ya vihela vya ada na chakula, na hata mavazi. Nyerere alikuwa ana-invest in the future. Na future yenyewe ndo hii...

Kama hii mada ina ukweli kutoka kwa mwanzishaji, nitachojiuliza sana ni kama cabinet ya Kikwete ina watu wanavuta weed? Au kuna nini hasa. Some of their decisions are so irrational mtu unashindwa kuwaelewa kabisa. Wewe Mwanamalundi kama uliomba kazi pale UD, au kama walikudisco useme tu. Ukitaka kueleweka lete CV ya Professor wa UD ambaye ni incompetent kitaaluma. Bila hivyo hoja yako ni irrelevant.

Niambieni hapo UD, kuna professa gani mwenye CV kama hii? Huyu professa akinyimwa mkataba ndio nitashangaa.
Papers (since 2000)

In press

Davies, M. and Egan, A.

Delusion, cognitive approaches: Bayesian inference and compartmentalisation.

In K.W.M. Fulford, M. Davies, R.G.T. Gipps, G. Graham, J. Sadler, G. Stanghellini and T. Thornton (eds),

The Oxford Handbook of Philosophy and Psychiatry.

Oxford: Oxford University Press.

Aimola Davies, A.M., White, R.C. and Davies, M.

Spatial limits on the nonvisual self-touch illusion and the visual rubber hand illusion: Subjective experience of the illusion and proprioceptive drift.

Consciousness and Cognition.

2013

Aimola Davies, A.M., Waterman, S., White, R.C. and Davies, M.

When you fail to see what you were told to look for: Inattentional blindness and task instructions.

Consciousness and Cognition, 22, 221–30.

doi: 10.1016/j.concog.2012.11.015

2012

Stone, T. and Davies, M.

Theoretical issues in cognitive psychology.

In N. Braisby and A. Gellatly (eds), Cognitive Psychology (Second Edition).

Oxford: Oxford University Press, 639–79.

2011

Smithson, M., Davies, M. and Aimola Davies, A.M.

Exploiting test structure: Case series, case-control comparison, and dissociation.

Cognitive Neuropsychology, 28, 44–64.

doi: 10.1080/02643294.2011.619524

White, R.C., Aimola Davies, A.M. and Davies, M.

Two hands are better than one: A new assessment method and a new interpretation of the non-visual illusion of self-touch.

Consciousness and Cognition, 20, 956–64.

doi:10.1016/j.concog.2011.03.021

2010

Double dissociation: Understanding its role in cognitive neuropsychology.

Mind and Language, 25, 500–40.

doi: 10.1111/j.1468-0017.2010.01399.x

White, R.C., Aimola Davies, A.M., Kischka, U. and Davies, M.

Touch and feel? Using the rubber hand paradigm to investigate self-touch enhancement in right-hemisphere stroke patients.

Neuropsychologia, 48, 26–37.

doi:10.1016/j.neuropsychologia.2009.08.006

White, R.C., Aimola Davies, A.M., Halleen, T.J. and Davies, M.

Tactile expectations and the perception of self-touch: An investigation using the rubber hand paradigm.

Consciousness and Cognition, 19, 505–19.

doi:10.1016/j.concog.2009.08.003

Aimola Davies, A.M., White, R.C., Thew, G., Aimola, N.M.V. and Davies, M.

Visual capture of action, experience of ownership and the illusion of self-touch: A new rubber hand paradigm.

Perception, 39, 830–8.

doi:10.1068/p6610

Aimola Davies, A.M., White, R.C. and Davies, M.

Assessment of anosognosia for motor impairments.

In J.M. Gurd, U. Kischka and J.C. Marshall (eds),

Handbook of Clinical Neuropsychology (Second Edition).

Oxford: Oxford University Press, 436–68.

2009

Two purposes of arguing and two epistemic projects.

In I. Ravenscroft (ed.), Minds, Ethics, and Conditionals:

Themes from the Philosophy of Frank Jackson.

Oxford: Oxford University Press, 337–83.

Delusion and motivationally biased belief: Self-deception in the two-factor framework.

In T. Bayne and J. Fernández (eds), Delusions and Self-Deception:

Affective and Motivational Influences on Belief Formation.

Hove, E. Sussex: Psychology Press, 71–86.

Brain and mind.

In M.G. Gelder, N.C. Andreasen, J.J. López-Ibor and J.R. Geddes (eds),

The New Oxford Textbook of Psychiatry (Second Edition).

Oxford: Oxford University Press, 133–6.

Aimola Davies, A.M. and Davies, M.

Explaining pathologies of belief.

In M.R. Broome and L. Bortolotti (eds),

Psychiatry as Cognitive Neuroscience: Philosophical Perspectives.

Oxford: Oxford University Press, 285–323.

Aimola Davies, A.M., Davies, M., Ogden, J.A., Smithson, M. and White, R.C.

Cognitive and motivational factors in anosognosia.

In T. Bayne and J. Fernández (eds), Delusions and Self-Deception:

Affective and Motivational Influences on Belief Formation.

Hove, E. Sussex: Psychology Press, 187–225.

2008

Consciousness and explanation.

In L. Weiskrantz and M. Davies (eds),

Frontiers of Consciousness: Chichele Lectures.

Oxford: Oxford University Press, 1–53.

2006

Foundational issues in the philosophy of language.

In M. Devitt and R. Hanley (eds), The Blackwell Guide to Philosophy of Language.

Oxford: Blackwell Publishers, 19–40.

Gareth Evans.

In D.M. Borchert (ed.),The Encyclopedia of Philosophy (Second Edition).

Macmillan Reference USA.

2005

Cognitive science.

In F. Jackson and M. Smith (eds),

The Oxford Handbook of Contemporary Philosophy.

Oxford: Oxford University Press, 358–94.

Davies, M., Aimola Davies, A.M. and Coltheart, M.

Anosognosia and the two-factor theory of delusions.

Mind & Language, 20, 209–36.

doi: 10.1111/j.0268-1064.2005.00283.x

2004

Aunty’s argument and armchair knowledge.

In J.M. Larrazabal and L.A. Pérez Miranda (eds),

Language, Knowledge, and Representation.

Dordrecht: Kluwer Academic Publishers, 19–37.

Epistemic entitlement, warrant transmission, and easy knowledge.

Aristotelian Society Supplementary Volume, 78, 213–45.

doi: 10.1111/j.0309-7013.2004.00122.x

Reference, contingency, and the two-dimensional framework.

Philosophical Studies, 118, 83–131.

Reprinted in M. García-Carpintero and J. Macià (eds), Two-Dimensional Semantics.

Oxford: Oxford University Press, 2006, 141–75.

Davies, M. and Stoljar, D.

Introduction.

Philosophical Studies, 118, issue 1–2:

The Two-Dimensional Framework and its Applications:

Metaphysics, Language, and Mind, 1–10.

2003

Externalism, self-knowledge and transmission of warrant.

In M.J. Frápolli and E. Romero (eds), Meaning, Basic Self-Knowledge, and Mind:

Essays on Tyler Burge.

Stanford: CSLI Publications, 99–124.

The problem of armchair knowledge.

In S. Nuccetelli (ed.), New Essays on Semantic Externalism and Self-Knowledge.

Cambridge, MA: MIT Press, 23–55.

Philosophy of language.

In N. Bunnin and E.P. Tsui-James (eds),

The Blackwell Companion to Philosophy (Second Edition).

Oxford: Blackwell Publishers, 90–146.

Coltheart, M. and Davies, M.

Inference and explanation in cognitive neuropsychology.

Cortex, 39, 188–91.

Davies, M. and Stone, T.

Psychological understanding and social skills.

In B. Repacholi and V. Slaughter (eds), Individual Differences in Theory of Mind:

Implications for Typical and Atypical Development.

Macquarie Monographs in Cognitive Science.

Hove, E. Sussex: Psychology Press, 305–52.

2002

Langdon, R., Davies, M. and Coltheart, M.

Understanding minds and understanding communicated meanings in schizophrenia.

Mind & Language, 17, 68–104.

doi: 10.1111/1468-0017.00189

Stone, T. and Davies, M.

Chomsky amongst the philosophers.

Mind & Language, 17, 276–89.

doi: 10.1111/1468-0017.00200

2001

Knowledge (explicit and implicit): Philosophical aspects.

In N.J. Smelser and P.B. Baltes (eds),

International Encyclopedia of the Social and Behavioral Sciences.

Amsterdam: Elsevier Science Ltd., 12, 8126–32.

Davies, M., Coltheart, M., Langdon, R. and Breen, N.

Monothematic delusions: Towards a two-factor account.

Philosophy, Psychiatry and Psychology, 8, 133–58.

Davies, M. and Stone, T.

Mental simulation, tacit theory, and the threat of collapse.

Philosophical Topics, 29, 127–73.

2000

Externalism and armchair knowledge.

In P. Boghossian and C. Peacocke (eds), New Essays on the A Priori.

Oxford: Oxford University Press), 384–414.

Persons and their underpinnings.

Philosophical Explorations, 3, 43–62.

Interaction without reduction:

The relationship between personal and sub-personal levels of description.

Mind and Society, 1(2), 87–105.

Davies, M. and Coltheart, M.

Pathologies of belief.

Mind & Language, 15, 1–46.

doi: 10.1111/1468-0017.00122

Davies, M. and Stone, T.

Simulation theory.

In E.J. Craig (ed.), Routledge Encyclopedia of Philosophy Online.

London: Routledge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom