Kozi ya air ticketing ina ajira?

Wazabanga kuku

JF-Expert Member
Dec 13, 2016
264
378
Habarini wadau
Jamani nijuzeni kama hii kozi ya Air Ticketing inayotolewa katika hivi vyuo vya mitaani ina nafasi za ajira kweli hapa nchini kwetu au ndugu zetu wanaliwa hela tu za bure!??
 
mimi nikajua kuna ajira umeziona za Air ticketing, according to ur heading?
 
Sahv hakna coz ya ajira, tusubr mpaka ajira zifunguliwe ndo tujue kipi ni adv, by the way soma kwa kujiandaa kukaa sokon ila sio kutegemea kuajiriwa maana usipoajiriwa waweza kupoteza mwelekeo kabsa!
 
Ajira zipo nyingi hasa sumbawanga ndege ni nyingi watumishi wachache so soma tu usijali utapata ajira
 
Back
Top Bottom