Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,741
- 25,681
ChuoWapi mkuu?
Soma vizuri usikurupuke kurupukeVyuo au chuo?
Something is wrong with you Madam.
Pona kwanza ndo uje kuandika huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ujanja ujanja mkuu.Soma vizuri usikurupuke kurupuke
Sioni tatizo liko wapi hapo. Wengi wetu hutafuta vyuo vizuri, tunaomba na mwisho kabisa ndio tunaamua twende wapi. Hata kwa vipanga na nadra sana kuona mtu ana omba chuo kimoja tu. Kama ni hivyo watu hutafuta vyuo vizuri. LoLVyuo au chuo?
Something is wrong with you Madam.
Pona kwanza ndo uje kuandika huku.
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeeeeeeeSioni tatizo liko wapi hapo. Wengi wetu hutafuta vyuo vizuri, tunaomba na mwisho kabisa ndio tunaamua twende wapi. Hata kwa vipanga na nadra sana kuona mtu ana omba chuo kimoja tu. Kama ni hivyo watu hutafuta vyuo vizuri. LoL