Waziri Ndakichako, naomba upunguze karo ya chuo cha TANAPA Pansiasi, Mwanza

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
616
Huu sio ugwana kabisa chuo cha serikali tena kozi ya certificate inalipiwa million 3 na sehemu huu ni unyanyasaji au chuo hiki kimejengwa kwa ajili ya watoto wa vigogo tu viongozi wa juu wa serikali jamani huu ni uhuni .
 
Vyuo vingine vya certificate mtoto anakaa mpaka hostel na hio hela haifiki kwann usitafute chuo kingine mkuu
 
Mkuu ni vigumu kupunguza gharama kwasababu :
Gharama za kuendesha mafunzo na field zao ni kubwa mno,chukulia mfano mdogo kupeleka wanafunzi 200 kwa muda wa mwezi mmoja nje ya chuo n ghari kiasi gani.
Mi mwenyewe nakumbuka shuleni tulikuwa tunaendaga kutembelea mbuga za wanyama tulikuwa tuna lipia 60000 Tshs. Kwa muda wa siku mbili.sasa Fanya makadirio ndo utajua kwanini ada zao n kubwa.
 
Physics ,C,biology, D,chemistry, C ,eng,C,civics,B,mengine D's na math,F,

Mkuu kwann usimtafutie private asome form 5 akapiga PCB mbona maks ni nzuri tu au akwambie anaitaji kusome nn tukutajie vyuo kabisa vinavyootoa kozi anayotaka kusomea
 
Mkuu nahitaji aende chuo alikuwa anataka hiki chuo cha tanapa
 
Mkuu ni vigumu kupunguza gharama kwasababu :
Gharama za kuendesha mafunzo na field zao ni kubwa mno,chukulia mfano mdogo kupeleka wanafunzi 200 kwa muda wa mwezi mmoja nje ya chuo n ghari kiasi gani.
Mi mwenyewe nakumbuka shuleni tulikuwa tunaendaga kutembelea mbuga za wanyama tulikuwa tuna lipia 60000 Tshs. Kwa muda wa siku mbili.sasa Fanya makadirio ndo utajua kwanini ada zao n kubwa.
Hiki chuo si serikali inakuwaje kiwe na gharama kubwa kiasi hiki ?
 
Mkuu ni vigumu kupunguza gharama kwasababu :
Gharama za kuendesha mafunzo na field zao ni kubwa mno,chukulia mfano mdogo kupeleka wanafunzi 200 kwa muda wa mwezi mmoja nje ya chuo n ghari kiasi gani.
Mi mwenyewe nakumbuka shuleni tulikuwa tunaendaga kutembelea mbuga za wanyama tulikuwa tuna lipia 60000 Tshs. Kwa muda wa siku mbili.sasa Fanya makadirio ndo utajua kwanini ada zao n kubwa.
Elewa sio chuo binafsi mwenzako kasema cha serikali. Na hayo unayoyaeema wana fungu kutoka serikalini. Ni majipu tu ya kutumbua. Wewe vipi.
 
Mkuu nahitaji aende chuo alikuwa anataka hiki chuo cha tanapa
Stop this my friend! Mtoto hawezi lazimisha. Ni jukumu la Mzazi kuhakikisha anapata Elimu bora. Form five ni bora kuliko certificate ! Mpeleke form five na akimaliza six Pcb ataenda tanapa
 
Elewa sio chuo binafsi mwenzako kasema cha serikali. Na hayo unayoyaeema wana fungu kutoka serikalini. Ni majipu tu ya kutumbua. Wewe vipi.
Umeongea vyema maana chuo hichi cha serikali lakini gharama zake ni kubwa sana sijui kwanini hiki chuo special kwa watoto wa vigogo tu ?
 
Stop this my friend! Mtoto hawezi lazimisha. Ni jukumu la Mzazi kuhakikisha anapata Elimu bora. Form five ni bora kuliko certificate ! Mpeleke form five na akimaliza six Pcb ataenda tanapa
Tatizo gharama za shule za private ndoo kubwa
 
Mil 3 mbona sio hela nyingi ukilinganisha na mafunzo na mazingira unayopelekwa kufundishia. Sahivi hata ungeambiwa iwe laki 8 bado utagaramia mafunzo yako ya mbugani na itafika mil 3 au hata ikazidi hapo
 
Ongea kwa fact mkuu hiki chuo cha serikali mbuga za wanyama ni Mali ya serikali wanashindwaje kupunguza karo ili hata watoto wa masikini wasome ? Huu ni upuuzi hiki chuo cha vigogo
 
Mimi nakushauri ndugu.

Kama uwezo wa kulipa hiyo ada upo na uhakika wa Dogo kupata nafasi pia upo, mwache Dogo akasome. Ni course ya mwaka mmoja tu pale Dogo anaanza kula fidia.
****** ************************
Hao wanaokuahauri kuwa akasome chuo kingine wanataka Dogo akasome ualimu afu badaye ajira akose na mwisho wa siku muanze habari za kutusumbua hapa Jf kuwa mtatafuta kazi yeyote.
******* ** * * **************

Vyuo vyote vinavyotoa course hiyo ada zao ni the same na vipo viwili 2 tu (Mweka na hiyo Pansiasi)
* *************************
Au Kama vipi mpeleke chuo cha misitu Olmotonyi Arusha ada yao laki 8 course Miaka miwili na chakula anajitegemea.

It's just ushauri tu
 
Usimpeleke mtt chuo after form four, atakuja kupata shida mbeleni kuendelea na degree kwa sera hii ya ndalichako.... mpeleke advance mbona maksi nzuri tu
 
Back
Top Bottom