Tuliosoma UDSM science subjects Na MUHAS tukutane hapa.

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
751
Reaction score
659
Huu Uzi maalumu kwa watu tuliosoma UDSM Na MUHAS tuu tena kwa kuongezea ni science subjects kwa wa UDSM... Tuje kushare mawazo ya maisha yalivyo now Na ugumu wa shule tulizopitia.. please Kama hujasoma uko pita mbali kabisa au Kama ulikua unasoma viji faculty uchwara .usiguse

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Science uliyosoma imekusaidia nn wakat hata tooth pick tunaagiza nje ya nchi? Pengine ungesema mliokremisha pale UDSM/MUHAS mkutane kumpigia kampeni mwanasayansi mwenzenu maana hamna jipya. Nchi hii tumebaki kuwategemea Leading, renowned scientists wa nje ya nchi nyie endelezeni siasa
 
Acha povu..wee Kama ulisoma kufinyanga vyungu .tulia dawa iingie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Uzi maalumu kwa watu tuliosoma UDSM Na MUHAS tuu tena kwa kuongezea ni science subjects kwa wa UDSM... Tuje kushare mawazo ya maisha yalivyo now Na ugumu wa shule tulizopitia.. please Kama hujasoma uko pita mbali kabisa au Kama ulikua unasoma viji faculty uchwara .usiguse

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatupiga mkwara tusiguse, mi nagusa sasa nione utanifanya nini.
 
Back
Top Bottom