Habari wapendwa

Habari wapendwa

Gabriery

Member
Joined
Sep 3, 2018
Posts
5
Reaction score
2
Habari wakubwa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nilikua naomba ushauri wenu nataka niende nika somee kilimo je nime fanya chaguo sahii naomba ushauri wenu wapendwa
 
Habari wakubwa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 21 nilikua naomba ushauri wenu nataka niende nika somee kilimo je nime fanya chaguo sahii naomba ushauri wenu wapendwa


HONGERA sana,
chaguo ni zuri kutokana na wewe umelichagua mwenyewe.. hongera na nakutakia mafanikio huko uendako..
 
Nashukuru sana kaka ila naomba niku ulize kilimo kina weza nisaidia pia msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom