Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Msaada natafuta mashirika yatakayo weza nipa scholarship ya kwenda kusoma nje me ni mwanafunzi nilimaliza mwaka huu na nina 1 ya 7 PCB ila mpaka leo ninavyo sema aijapata hata Chuo cha UDOM...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakuu naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye kufahamu namna ya kudownload joining instructions form hasa chuo cha mifugo Mabuki..
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Kwa wale waluochaguliwa cuhas,unapataje admission letter/joining instruction?
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Jaman naulizia selection za deploma za ualimu zatoka lini?
0 Reactions
0 Replies
527 Views
hivi TCU wamekosa misimamo ya kuondoa majina ambayo wameshindwa kuconfirm ili kuruhusu nafasi hewa zijazwe na watu?????halafu TCU ratiba yenu mbona hamuifuati???watu wanalia 3rd round na hakuna...
0 Reactions
0 Replies
599 Views
Naomba mwenye majina ya walio chaguriwa ifm mwenye majna
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba Mwenye Uchambuz mzurii wa Kitabu Cha Betrayal In the City Anisaidie soft copy yake. Niambie nikupm namba yang ya watsapp unitumie
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Habari ya asubuhi wakuu,, naomba Msaada Wa Ku upload cheti tena kweny tovouti ya mkopo .... Najaribu kufanya hivyo inasema file already being existed...
0 Reactions
1 Replies
780 Views
Mama yangu ana cha kura tu na kina majina tofaut je anaweza kutmia temporary passport (visa
0 Reactions
1 Replies
993 Views
Samahani...najarbu Ku upload tens kweny website yao ya mikopo baada ya vyeti vyng kuwa certified by Rita...lkn chaa ajabu naambiwa file already being uploaded..sijui nafanyaje aisee naomba msaada wako
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habarini.. Nimeambiwa bodi ya Mikopo inatoa mikopo kwa wahitimu wa degree ya Sheria wanaotaka kwenda law school. Kuna mtu yeyote anaejua namna ya kuomba mkopo wa HESLB kwa ajili ya masomo ya Law...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wasomi naomba kuelimishwa kuhusiana na mpangilio wa elimu, namaanisha ukitoka degree ya kwanza, inafuatia nini na nini mpaka mwisho wake kama ni profesa au dkt naomba muniwekee mpangilio sahihi
0 Reactions
13 Replies
6K Views
wakuu naomba msaada kwa anaejua wapi naweza kupata chuo cha udereva wa maroli humu humu Tanzania na kama kitakua cha serikali itapendeza zaidi
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Ndugu dogo alikosa mara ya kwanza akaomba mara ya pili sasa majina yametoka walochaguliwa chuo kimoja na kuambiwa third round 24_26 Sasa naulza je vyuo bado havijatoa majina au sijaona tu na kama...
0 Reactions
109 Replies
14K Views
Mm ninapenda sana maswala ya blog nimefungua blog nyingine sana na kukata tama but ipo nataka kutengeneza blog mpy na ambayo nitanunulia domain na kuomba maombi Google ADSENSE But ni sehemu hipi...
0 Reactions
4 Replies
871 Views
TCU imefungia vyuo vikuu zaidi ya 14 vikiwemo vyuo pekee viwili vya Kagera - Chuo Kikuu Kishiriki cha Josiah Kibira (JOKUCo) na Chuo kikuu kishiriki cha kumbukumbu ya Kadinali Rugambwa(CARUMUCo)...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jana wanafunzi walikwenda kwenye chumba cha mtihani kufanya mitihani yao ya supplementary, wakakaa saa nzima. Mwishowe wanaambiwa kuwa hakuna mtihani watoke wasubiri mpaka watakapo tangaziwa tena...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
habarini wakuu, Nina mtoto wa binamu wangu amemaliza shule ya msingi. Amefanya interview Rosmini na AHMEs na kupata zote hebu nipeni ushauri ili nami nimshauri aende shule bora karibuni wakuu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAJINA YA WADAHILIWA KATIKA AWAMU YA PILI Published on Wed, 09/26/2018 - 15:17 Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania ilitangaza kukamilisha kuchakata majina ya waombaji wa awamu ya pili tarehe 23/09/2018 na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom