Amani Ndoroma
Member
- Aug 14, 2018
- 71
- 21
Samahani...najarbu Ku upload tens kweny website yao ya mikopo baada ya vyeti vyng kuwa certified by Rita...lkn chaa ajabu naambiwa file already being uploaded..sijui nafanyaje aisee naomba msaada wako
Mimi cheti nimehakiki Rita ila kwenye list ya walio kosea nipo ila hawaja specify nini shida ya cheti changu cha kuzaliwa, ila nikiingia kwenye akaunti yangu shida wanasema hivi (Already uploaded, the existing document will be replaced) sasa nashindwa kujua nini tatizo langu...Nilitoka board ya mikopo jana jielezeni vizuri niwasaidie maana me nilifanikiwa ku upload cheti cha mtu cha kuzaliwa kutoka rita , nashindwa kufahamu nyinyi mnadhindwa wapi.
Cheti kilikuwa na mhuri wa rita, na je vipi kwa ambao wametumia cheti walicho hakiki mwaka JanaShida yako ni kwamba hauku upload cheti chenye muhuri wa rita , pia tatizo jingine watu walikua hawa upload cheti coloured na zingine details hazisomeki