Wale blog tukutane hapa

Wale blog tukutane hapa

quavio wa tz

Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
88
Reaction score
36
Mm ninapenda sana maswala ya blog nimefungua blog nyingine sana na kukata tama but ipo nataka kutengeneza blog mpy na ambayo nitanunulia domain na kuomba maombi Google ADSENSE

But ni sehemu hipi naweza. Nikatengeneza blog yangu ikavutiwa na kupendwa na watu wengi

Ni top zipi ambazo zinapendwa na watu wengi kuzisoma

Ni mambo yapi napaswa kuzingatia kuyafanya ili niweze kupata ADSENSE kwa haraka zaid


Kwa ambaye ana ujuzi na blog msaada tafadhari
 
Blogger.com

Ila jifunze kwanza kuandika,hicho ni kigezo kimojawapo cha watu kupenda blog yako.
 
  • Thanks
Reactions: Off
Blog, unaweza itengeneza kwa platform kama blogger na WordPress kwa free kabisa. Kitu cha msingi uwe Na ujuzi wa kuweka template nzurii ambayo itwavutia wasomaji kulingana Na content unazopost.

Kuomba uunganishwe Na google AdSense kwanza hua hawahitaji blog yako iwe Na content za kiswahili hapo hawatakubali kabisa inatakiwa content za kiingereza. Na jaribu kuangalia wewe una uwezo zaid wa kutoa maada zipi kama ni za kielimu, teknolojia au maswala mengine mengi tuu yote yanaweza kukufanya ufike mbali kama utakua Na juhud katika kuweka content ambazo wasomaji watazielewa Na kunufaika nazo.

Kwa kawaida google AdSense wanasema mpaka blog yako ifikishe miezi sita ndo wanakuapprove lakini hiyo sio tatzo sana kuna wataalamu wanakupatia akaunti kwa pesa ukiulizia humu akaunti ya AdSense utaipata dakika chache tuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom