Jana wanafunzi walikwenda kwenye chumba cha mtihani kufanya mitihani yao ya supplementary, wakakaa saa nzima. Mwishowe wanaambiwa kuwa hakuna mtihani watoke wasubiri mpaka watakapo tangaziwa tena. wanafunzi wapo hawajui la kufanya! Mwanafunzi kajiandaa, isitoshe kuna masuala ya fedha hapo maana wanajitegemea kuishi hapo kabla ya kuanza masomo. Ghafla mtu anaambiwa hakuna mitihani subiri mpaka wiki ijayo!