moyafricatz
JF-Expert Member
- Nov 27, 2015
- 2,905
- 4,948
Habarini..
Nimeambiwa bodi ya Mikopo inatoa mikopo kwa wahitimu wa degree ya Sheria wanaotaka kwenda law school.
Kuna mtu yeyote anaejua namna ya kuomba mkopo wa HESLB kwa ajili ya masomo ya Law School??
Au Kuna yeyote ameshatumia utaratibu huu wa mkopo wa HESLB kwa ajili ya law school??? Ili tujuzane taratibu za kufuatwa.