Msaada jamani kuhusu vitambulisho vya mdhamini vinavyohitajika HESLB

Msaada jamani kuhusu vitambulisho vya mdhamini vinavyohitajika HESLB

Berther patty

Member
Joined
Jul 27, 2018
Posts
34
Reaction score
4
Mama yangu ana cha kura tu na kina majina tofaut je anaweza kutmia temporary passport (visa
 
Heslb wanahitaji kimojawapo kati ya vifuatavyo. kitambulisho cha mpiga kura, kitambulisho cha Nida, leseni ya udereva. unaweza kuscan au kutoa copy kisha kupitisha kwa hakimu au wakili na kuapload kwenye Olam.
 
Back
Top Bottom